Rwanda awa mfano wa kuigwa kwa kupeleka wanajeshi 1,000 Msumbiji, huku waoga wakiendelea kusuasua

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Ni dhahiri hawa magaidi hawapaswi kuachiwa wachukue uongozi wa Msumbiji maana tumeshuhudia unyama wao, wamekua wakichinja wanavijiji kule Msumbiji na hata Tanzania tena bila huruma, wanachinja binadmu kama mbuzi, huku majirani wa Msumbiji wakiendelea kuingiza mikia katikati ya miguu kwa uwoga, Rwanda imeongoza kwa mbele kwa kupeleka wanajeshi moja kwa moja, naomba jeshi letu la Kenya liwahi pia, tuokoe Afrika....
============================================

Rwanda has sent the first contingent of 1,000 troops to help fight an Islamic State-linked insurgency in northern Mozambique's Cabo Delgado Province.

The deployment of the Rwanda Defence Force and the Rwanda National Police, under a bilateral agreement, follows a visit by Mozambican President Filipe Nyusi to Kigali in April this year.

“The Rwandan contingent will support efforts to restore Mozambican State authority by conducting combat and security operations, as well as stabilisation and security-sector reform,” a government statement released on Friday says.

Thousands have been killed and others displaced due to insecurity in the gas-rich region since 2017 after terror attacks linked to Islamic militants.

Rwandan troops will join forces with troops deployed under the Southern African Development Community (SADC), which agreed in June to send a contingent to combat terrorism and acts of violent extremism in the region.

“This deployment is based on the good bilateral relations between the Republic of Rwanda and the Republic of Mozambique, following the signing of several agreements between the two countries in 2018, and is grounded in Rwanda’s commitment to the Responsibility to Protect (R2P) doctrine and the 2015 Kigali Principles on the Protection of Civilians,” the government says.

The Cabo Delgado insurgency has displaced over 800,000 people and is threatening gas projects by multinationals in the region.

Mozambique’s neighbours fear that the terrorist attacks will spill over into their territories if not neutralised.

We jamaa hujielewi Kati ya hao magaidi au JWTZ Nani muoga mbona wanaogopa kuingia Tanzania.ukiacha wakati ule waliposhtukizia kijiji cha mpakani mpaka tukawafuata kwao tukawaua mamia Kwa mamia.
 
Magaidi wanaogopwa zaidi ya JWTZ maana wanachinja vijijini kabisa.

Magaidi wanapaswa kupigwa kabla hawajateka Msumbiji, ukiingiza mkia kwenye miguu muda huu ndio watazidi kuota mapembe na kuhatarisha ukanda wote huu.
 
Hivi kwenu iliiuwaje waliingia na kuua wanachuo?
 
Ni kweli kabisa Rwanda imeaibisha nchi kubwa na pamoja na kwenda huko hutoona magaidi wanavamia vyuoni na kuuwa wanafunzi wala hutosikia kambi ya Rwanda imevamiwa na askari kubakwa na kuuwawa
Halafu Rwanda wametia aibu majitu yote ya SADC, kazi kuongea ongea huko ilhali mikia mumekunja.....hehehe Kagame bana, huwa namkubali sana jamaa, huwa hatanii, kainchi kadogo size ya mkoa lakini ndio kanaskika Afrika yote.
 
"Rwandan troops will join forces with troops deployed under the Southern African Development Community (SADC)" ,

Unadhani kwa iyo kikosi jwtz watakosekana?
Rwanda wanataka kuingia sadc, so ni lazima ashobokee issues kama hizi
 
Ni kweli kabisa Rwanda imeaibisha nchi kubwa na pamoja na kwenda huko hutoona magaidi wanavamia vyuoni na kuuwa wanafunzi wala hutosikia kambi ya Rwanda imevamiwa na askari kubakwa na kuuwawa

Hehehe!! Kumbe hii ndio sababu huwa mnaogopa na kuwaacha wanavijiji wenu wachinjwe, kupambana na magaidi kuna gharama zake acheni uwoga, wanajeshi wasiwe wa maonyesho tu ya kupasua matofali.
Hao magaidi wakiendelea kutamalaki itawacost sana, bora hata Wasomali kidogo huwa rahisi kuwatofautisha, hao wa huko Msumbiji ni Wabantu, utakuta Wamakonde na makabila ya Kibantu na huwa rahisi sana kujiingiza kwenye jamii. Unakumbuka mlivyosumbuliwa na vitoto vya kule sijui Amboni.
 
Shida yako una haraka ya mambo.kuingilia vita ya mtu mwingine ,inahitaji kujishauri na mipango dhabiti.La sivyo na wewe unageuka mhanga .kagame anaagiza majeshi yake ,lakini vita haiwezi muadhiri kulingana na nature ya nchi yake.Tanzania watu above 60mil ,vita ambayo haikuhusu unaweza ukaleta majanga mengi kwa nchi na watu wake.Otherwise lingekuw Jambo siliasi kwetu ,majeshi yangesimama na rais ange declare war.
Kama nyie na alshabab iyo ni vita ,lakini kwetu imekuwa ndogo tumeikabili ,na kuweka wanajeshi mipakani.

Nadhani unafahamu bajeti ya vita ya magaidi inavyoadhiri uchumi.GDP inaweza ikawa kubwa,lakini pato kubwa mnawekeza kwenye ulinzi na mahitaji ya troops
 
Hehehe!! Kumbe hii ndio sababu huwa mnaogopa na kuwaacha wanavijiji wenu wachinjwe, kupambana na magaidi kuna gharama zake acheni uwoga, wanajeshi wasiwe wa maonyesho tu ya kupasua matofali.
Hao magaidi wakiendelea kutamalaki itawacost sana, bora hata Wasomali kidogo huwa rahisi kuwatofautisha, hao wa huko Msumbiji ni Wabantu, utakuta Wamakonde na makabila ya Kibantu na huwa rahisi sana kujiingiza kwenye jamii. Unakumbuka mlivyosumbuliwa na vitoto vya kule sijui Amboni.
Bro, kuna wakati mwingine unakurupuka na kuongea ujinga mwingi sana.
Vita ya magaidi ni ngumu hata Usa analijua hilo, hivyo inahitaji tahadhari kabla hujajiingiza huko, nchi yetu ni kubwa mno kuwadhiti magaidi kutoingia kuja kulipa kisasi compare to Rwanda.
Ninyi ni mashahidi mlivyoteswa sana na Alshabab, mmepoteza raia wengi sana, mmepoteza askari wengi mno.

Tanzania hawajawahi kuwa wajinga kama unavyofikiri, tayari JWTZ ilishatuma makomandoo kadhaa Msumbiji kujua hali halisi kabla vikosi vyetu havijawasili na sio Tz pekee bali nchi nyingi za SADC.
Mambo ya kijeshi huwekwa hadharani mwishoni..
So kijana tuliza KIPUMLIO
 
Magaidi wanaogopwa zaidi ya JWTZ maana wanachinja vijijini kabisa.

Magaidi wanapaswa kupigwa kabla hawajateka Msumbiji, ukiingiza mkia kwenye miguu muda huu ndio watazidi kuota mapembe na kuhatarisha ukanda wote huu.
Wameingia mara moja mbona hawarudi tena?tena kijiji cha mpakani walichofanywa hawatakisahau ndo maana hawataki kurudi.nyie kila mwaka mnauawa.kwa sababu tunajeshi Bora nyie mnajeshi ovyo ndo maana mkaua 200
 
Ndugu Vita sio kitu kizuri , Marekani na uingereza walipigana na magaidi wakapoteza matrilioni ya dola miaka 20 Afghanistan na Iraq wamejiondokea juzi. Vitu kuu ya pili ya dunia ilisababisha uingereza kuwa nchi maskini na madeni mpaka kupewa msaada kilichookoa uchumi wao ni akili na elimu yao kabla ya vita kuu walikuwa super power wa dunia.
Tanzania tumesaidia msumbiji dhidi ya wareno, waasi, tumepigana na jeshi la idi amini na Libya , liberia , siera Leone , darfur , Lebanon na sasa kongo mashariki wakati kenya anajenga uchumi .
Sasa ni muda wa kujenga uchumi waende wadogo zetu , Lakini sadc itapeleka jeshi wakiwemo Tanzania
Sadc wanajiendesha kama nato
 
Wapo watu wetu huko wanafanya special mission ya ku-wipe hawa watu.JWTZ wapo huko ila kivingine.Na kazi ni nzuri sana inafanyika.Sio lazima tutangazie Dunia.Tunalinda Mpaka wetu kwa Damu na Jasho.Msumbiji walikataa tusivuke mpaka,sasa wamba wanaenda kupiga show huko kama Raia tu.
 
Ndugu Vita sio kitu kizuri , Marekani na uingereza walipigana na magaidi wakapoteza matrilioni ya dola miaka 20 Afghanistan na Iraq wamejiondokea juzi. Vitu kuu ya pili ya dunia ilisababisha uingereza kuwa nchi maskini na madeni mpaka kupewa msaada kilichookoa uchumi wao ni akili na elimu yao kabla ya vita kuu walikuwa super power wa dunia.
Tanzania tumesaidia msumbiji dhidi ya wareno, waasi, tumepigana na jeshi la idi amini na Libya , liberia , siera Leone , darfur , Lebanon na sasa kongo mashariki wakati kenya anajenga uchumi .
Sasa ni muda wa kujenga uchumi waende wadogo zetu , Lakini sadc itapeleka jeshi wakiwemo Tanzania
Sadc wanajiendesha kama nato

Hakuna mtu anayetamani vita, kwanza hatutaki kabisa, ila haimaanishi tukichokozwa ndio tukunje mikia, la sivyo wanajeshi watakua wa mapambo tu wa kuonyesha makucha siku za maadhimisho. Wanavijiji wenu walichinjwa kama mbuzi, leo utakuta waliosalia wanaishi kwa uwoga sana na misongo ya mawazo ila siku za maonyesho wanaona kwa TV wanajeshi wenu wanapita na magwaride yao.
Magaidi yakiizidi Msumbiji nguvu na kuteka taifa lote mjue hamtakua salama kwa uwoga wenu huo, mjue wale ni Wabantu walioaminishwa pumba za kidini, hivyo wana uwezo mkubwa sana kuhusisha vijana wenu na kusumbua kwenu ndani kwa ndani. Wanapaswa kukatwa mizizi mapema, tena waparamiwe na mataifa yote kwa pamoja, akigeuza huku kipodo, kule kipodo...yaani hakuna sehemu salama kwake.
 
Back
Top Bottom