Ni ngumu sana magaidi kuvamia Rwanda due to its geographical location same to Zambia ila Tanzania happened to be within their range by accident n the surprised attack on them after attack our village go ask about in the Mozambican village at the border they will tell you. Sisi Tanzania huwa we don't brag you clawns.Ni kweli kabisa Rwanda imeaibisha nchi kubwa na pamoja na kwenda huko hutoona magaidi wanavamia vyuoni na kuuwa wanafunzi wala hutosikia kambi ya Rwanda imevamiwa na askari kubakwa na kuuwawa
We fofo hujanywa supu kiti-mtu yakutosha. Unless you live in ze land outside your brain.Ni ngumu sana magaidi kuvamia Rwanda due to its geographical location same to Zambia ila Tanzania happened to be within their range by accident n the surprised attack on them after attack our village go ask about in the Mozambican village at the border they will tell you. Sisi Tanzania huwa we don't brag you clawns.
Halafu Rwanda wametia aibu majitu yote ya SADC, kazi kuongea ongea huko ilhali mikia mumekunja.....hehehe Kagame bana, huwa namkubali sana jamaa, huwa hatanii, kainchi kadogo size ya mkoa lakini ndio kanaskika Afrika yote.
Anastahili kuwa rais wa Afrika, mjasiri hana uwoga na tena ana sera nzuri sana za kiuchumi...Kanchi kadogo ili kajulikane inabidi kajitutumue katika mambo mengi.
Kanatafuta kicks za misaada kutoka USA (on war against terrorism). Kagame mjanja.
Alu! Is that CEO???????Hawawezi ikiwa haya ndio wanafanya
Anastahili kuwa rais wa Afrika, mjasiri hana uwoga na tena ana sera nzuri sana za kiuchumi...
Huu uzi hapa chini utakufundisha kitu Kwanini nchi ya Rwanda imeendelea kuliko Mkoa wa Kagera?
Huwezi kuingia kwenye vita ambayo adui yako haeleweki.....Halafu Rwanda wametia aibu majitu yote ya SADC, kazi kuongea ongea huko ilhali mikia mumekunja.....hehehe Kagame bana, huwa namkubali sana jamaa, huwa hatanii, kainchi kadogo size ya mkoa lakini ndio kanaskika Afrika yote.
Mnachekesha sana nyie watu, yaani wale tayari walishaingia kwenye vita na ninyi, wamechinja wanavjiji wenu, ila kwa uwoga wenu mnasema hamtaki kuingia kwenye vita nao, maana kwamba wanajeshi wenu ni wa mapambo tu.Huwezi kuingia kwenye vita ambayo adui yako haeleweki.....
unafikiri Tz ni Kenya kumbafu kabisa....
1.Brother Tanzania ni Amani tuKuchinja wanavijiji ndiko unaita kusumbua, huu uwoga wenu utawacost sana, hao wa huko Amboni walikua watoto waliolewa mipombe na bangi, hawakua wamefikia hadhi ya mashababi bin shetwan ambao hujitoa mhanga, hivyo pambaneni na ugaidi acheni misifa ya kijinga bado hamjakumbana na shughuli yenyewe, bora kuizuia mapema.
Eti wanachinjwa [emoji1][emoji1] huyu jamaa mk254 atakuwa na mtindio wa ubongo .Ana haraka ya mambo hasa ,anafikili vita ni kuamka na kupigana .Ww huwaga pumbavu flani hivi, Nashangaa wanaokazana kukujibu
NimekuelewaNinyi hamumfahamu vizuri Kagame na Museveni.Wale hata iwe somalia ama afganistan watapeleka ili askari wawe buzy.Kinyume na hapo wakikaa idle watawapindua.Na wakati mwingine pesa za kuwalipa hawana
Nimekuelewa
Si kama Kenya mnavyouawa kila siku .Wanajeshi kwenye nchi yoyote ile lazima wawe busy, hata kama itabidi wapasue matofali kuonyesha ubabe na kupiga minazi mabomu, wakikaa idle huwa hatari. Lakini huwa hovyoo pale mshambuliwe na magaidi kiholela halafu wasifanye chochote zaidi ya kupita pita na madifenda na magari yao.
Si kama Kenya mnavyouawa kila siku .
Kwani huwa wanatoa taarifa za wapi kabla.Hongereni nimeona vyombo vyenu vya habari vimeanza kufanya kazi kwa kutoa taarifa zenu kama zilivyo bila kuogopa ogopa, mlikua mumeanza kuishi kama Korea Kaskazini, yaani maovu yanafichwa ndani kwa ndani.
Sasa hivi matukio yenu yanaangazwa balaa, ndani ya wiki moja tu mara mwanamke kamchoma jamaa ndani ya nyumba, mara jamaa fulani amefyatua marisasi na kuua kisa kadaiwa bill ya bar, mambo kama haya mliyaficha sana na kukomalia yakitangazwa ya Kenya....
We sijui hujitambuiMliwaminya sana walikua wanatoa taarifa za hali ya anga na sijui mara Diamond mara Kiba, ila sasa wameachiwa fulu, mtaanikwa kwa vyote.