ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #21
Tanzania hakuna majengo ya Zamani? Nini mana ya Stone Stone au Bagamoyo etc?Tunisia kuna majengo ya zamani enzi za urumi, Tanzania kuna safari tourism kubwa sana kama haujui nenda Arusha hata sasaivi utaona. pamoja na mengine yote sa100 alianza vyema sana kwenye utalii, sasa rwanda utaenda safari kweli, au hujui unachokiongea? kuona masokwe? si waje tu wakuone wewe hapa bongo kwasababu sidhani kama akili yako ni tofauti na ya sokwe kama huelewi hili.
sasa unaongea nini aisee, kwahiyo unataka kutuambia kuwa tanzania hakuna utalii au nini? majengo yapo, ila rwanda sijaona cha kwenda kuangalia, labda wanawake na masokwe na wale matwiga aliyopeleka magufuli burigi wakakimbilia rwanda nasikia wameanza kuzaliana kule soon labda watapata watalii kupitia hao.Tanzania hakuna majengo ya Zamani? Nini mana ya Stone Stone au Bagamoyo etc?
Nauliza Kuna kitu chochote Cha maana ambacho Tanzania tunaliweza au tumefanya Kwa usahahihi?
Wewe unadhani hoa Watalii mil.1 Huwa wanaenda Rwanda kufanya nini?
Wingi na Ukubwa wa Utalii wa Tzn ukilinganisha na Rwanda ni kama hakuna kitu tunafanya.sasa unaongea nini aisee, kwahiyo unataka kutuambia kuwa tanzania hakuna utalii au nini? majengo yapo, ila rwanda sijaona cha kwenda kuangalia, labda wanawake na masokwe na wale matwiga aliyopeleka magufuli burigi wakakimbilia rwanda nasikia wameanza kuzaliana kule soon labda watapata watalii kupitia hao.
Unajua Tatizo la Tatizo la Tanzania ni kukariri utalii ni mbuga za wanyama pekeake! Fukwe tumelala fofofo! Ndo maana matokeo ni madogo sana!sasa unaongea nini aisee, kwahiyo unataka kutuambia kuwa tanzania hakuna utalii au nini? majengo yapo, ila rwanda sijaona cha kwenda kuangalia, labda wanawake na masokwe na wale matwiga aliyopeleka magufuli burigi wakakimbilia rwanda nasikia wameanza kuzaliana kule soon labda watapata watalii kupitia hao.
kwahiyo unataka kutuambia rwanda kuna fukwe? au unaamka usingizini sasaivi.Unajua Tatizo la Tatizo la Tanzania ni kukariri utalii ni mbuga za wanyama pekeake! Fukwe tumelala foto! Ndo maana matokeo ni madogo sana!
Tanzania pia ili upate watalii wengi lazima iwe na viwanja vya ndege vya kimataifa kama Mbeya na Mwanza kwa kuwa utalii pia huchochewa na biashara! Miji hiyo niliyotaja ikiwekewa mazingira hayo lazima impact itaongezeka sana!Bandari jamani BANDARI 😀 Kuendelea sio now na hiyo 5m ya watalii ifikapo mwaka tajwa sio rahis kama inavyoongelewa tatizo wizara zetu zinaongozwa na watu akili ishachoka wizara waliojaa ni wazee sasa ukimwambia atangaze utalii kwa kutumia tiktok siatakuona kituko mtoto huna adabu waanzie kwenye uongozi na sio kwenye kutangaza angalia nani ataitangaza akili iwe inachangamka sio iliyolala
NAWASILISHA
kinachohitajika sasahivi hapa ni njia nafuu ya kuitangaza nchi tu. viwanja vipo. kuna DSM, hii inahudumia pia na zanzibar, kuna Kilimanjaro ambako madege makubwa yeyote yanatua na hii ni kwa ajili ya utalii wa mlima kilimanjaro, mbuga zilizoko arusha na Manyara hadi serengeti. mbeya uwanja tayari upo kwa ajili ya kuhudumia Ruaha national park kwa kuingilia mlango wa mbarari. mwanza hakuna utalii wowote wa kuhangaisha pesa yetu, labda kama tukiwekeza miundombinu/recreation ziwani, michezo ya ziwani, mashindano ya boat na mitumbwi n.k ila kuna wasukuma walishakula wanyama wooote. hata wale walioko kisiwa cha Lubondo wapo hatarini kuliwa na wasukuma.Tanzania pia ili upate watalii wengi lazima iwe na viwanja vya ndege vya kimataifa kama Mbeya na Mwanza kwa kuwa utalii pia huchochewa na biashara! Miji hiyo niliyotaja ikiwekewa mazingira hayo lazima impact itaongezeka sana!
Namaanisha kuwa wabunifu mfano Rwanda saizi wana utalii wa kimikutano na matamasha kama the Giants of Africa Diamond alifungua! Miundombinu ubunifu ndo inaleta watalii kama huna vitu hivo utafeli tu utane usitake!kwahiyo unataka kutuambia rwanda kuna fukwe? au unaamka usingizini sasaivi.
upo sahihi. wamehangaika sana kuipiku Arusha lakini bado tu inawasumbua. wiki hii jengo la posta la afrika litafunguliwa arusha na ni msumari mwingine mkali kwa kagame kwasababu tangu enzi kagame uwa anashindana sio na Tanzania yote, anashindana na Arusha. hata ile mahakama ya rwanda alitaka ihamishiwe kigali kwasababu wanyarwanda hawafaidiki nayo, alisema wao ndio wameumizwa halafu inafaidisha na kuendeleza nchi nyingine.Namaanisha kuwa wabunifu mfano Rwanda saizi wana utalii wa kimikutano na matamasha kama the Giants of Africa Diamond alifungua! Miundombinu ubunifu ndo inaleta watalii kama huna vitu hivo utafeli tu utane usitake!
Sidhani kama unataarifa sahithi! Mwanza ndo iko karbu na serengeti kuliko Arusha au Kilimanjaro!kinachohitajika sasahivi hapa ni njia nafuu ya kuitangaza nchi tu. viwanja vipo. kuna DSM, hii inahudumia pia na zanzibar, kuna Kilimanjaro ambako madege makubwa yeyote yanatua na hii ni kwa ajili ya utalii wa mlima kilimanjaro, mbuga zilizoko arusha na Manyara hadi serengeti. mbeya uwanja tayari upo kwa ajili ya kuhudumia Ruaha national park kwa kuingilia mlango wa mbarari. mwanza hakuna utalii wowote wa kuhangaisha pesa yetu, labda kama tukiwekeza miundombinu/recreation ziwani, michezo ya ziwani, mashindano ya boat na mitumbwi n.k ila kuna wasukuma walishakula wanyama wooote. hata wale walioko kisiwa cha Lubondo wapo hatarini kuliwa na wasukuma.
basi wajenge miundombinu, si nilisikia airport wanaiboresha? watengeneze barabara bora toka mwanza hadi serengeti/mugumu, magufuli hakuliona hilo akaona bora ajenge airport chato ya kudondoka wachawi.Sidhani kama unataarifa sahithi! Mwanza ndo iko karbu na serengeti kuliko Arusha au Kilimanjaro!
Wewe unaleta maneno ya kukashifu wasukuma kwenye maada nyeti kama hii! Mwanza ukiwa na International Airport wageni wengi sana watashuka pale na kuelelkea Serengeti,Rubondo,Saanane na utalii wa ziwa na Mandhari yake!
Na kwenye conference kwa sasa Kigali inaipiga bao Arusha kwa sasa nuchi ya Rwanda inaupromote sana mji wao wa kigali!upo sahihi. wamehangaika sana kuipiku Arusha lakini bado tu inawasumbua. wiki hii jengo la posta la afrika litafunguliwa arusha na ni msumari mwingine mkali kwa kagame kwasababu tangu enzi kagame uwa anashindana sio na Tanzania yote, anashindana na Arusha. hata ile mahakama ya rwanda alitaka ihamishiwe kigali kwasababu wanyarwanda hawafaidiki nayo, alisema wao ndio wameumizwa halafu inafaidisha na kuendeleza nchi nyingine.
vyovyote wafanyavyo, ila arusha itabaki arusha tu. kuna uzuri wake pale. pia, hata wakiizidi arusha kwa sasa kuna siku tutapata kiongozi wa maana atakayeiboresha ikarudi kweney geneva ya afrika kama inavyojulikana.Na kwenye conference kwa sasa Kigali inaipiga bao Arusha kwa sasa nuchi ya Rwanda inaupromote sana mji wao wa kigali!
Saizi Fly Emirates wanabase yao Kigali!
Ndo maana mwaka jana uliona Ifantino wa FIFA alifanyia mkutano hapo!
Kagame ni big brain na innovation anayo ya kutosha Sie tunafanya mambo locally sana!
Ujinga wa Magufuli usiifanye serkali isimalize ujenzi wa Mwanza International Airport na ukumbuke pia Mwanza kwa wasafiri wa ndani na local flight inaongoza ukitoa Dar!basi wajenge miundombinu, si nilisikia airport wanaiboresha? watengeneze barabara bora toka mwanza hadi serengeti/mugumu, magufuli hakuliona hilo akaona bora ajenge airport chato ya kudondoka wachawi.
Mbinu za wapiii??Tanzania ilianza kutangaza Utalii mpaka Wembley, miaka ya Kikwete, hao walijifunza kupitia kwetu.
Sisi tuna mbinu zingine sasa hivi za kutangaza utalii, hapatoshi.
Cheza na mama Samia wewe?
Arusha kwa ilivo na vitu tokea miaka ya 80 haikupaswa kuwa hapo!vyovyote wafanyavyo, ila arusha itabaki arusha tu. kuna uzuri wake pale. pia, hata wakiizidi arusha kwa sasa kuna siku tutapata kiongozi wa maana atakayeiboresha ikarudi kweney geneva ya afrika kama inavyojulikana.