Rwanda imeweza kutangaza Utalii kwenye klabu kubwa za Ulaya (Arsenal na Bayern). Tanzania inakwama wapi?

Tunisia kuna majengo ya zamani enzi za urumi, Tanzania kuna safari tourism kubwa sana kama haujui nenda Arusha hata sasaivi utaona. pamoja na mengine yote sa100 alianza vyema sana kwenye utalii, sasa rwanda utaenda safari kweli, au hujui unachokiongea? kuona masokwe? si waje tu wakuone wewe hapa bongo kwasababu sidhani kama akili yako ni tofauti na ya sokwe kama huelewi hili.
Tanzania hakuna majengo ya Zamani? Nini mana ya Stone Stone au Bagamoyo etc?

Nauliza Kuna kitu chochote Cha maana ambacho Tanzania tunaliweza au tumefanya Kwa usahahihi?

Wewe unadhani hoa Watalii mil.1 Huwa wanaenda Rwanda kufanya nini?
 
sasa unaongea nini aisee, kwahiyo unataka kutuambia kuwa tanzania hakuna utalii au nini? majengo yapo, ila rwanda sijaona cha kwenda kuangalia, labda wanawake na masokwe na wale matwiga aliyopeleka magufuli burigi wakakimbilia rwanda nasikia wameanza kuzaliana kule soon labda watapata watalii kupitia hao.
 
Wingi na Ukubwa wa Utalii wa Tzn ukilinganisha na Rwanda ni kama hakuna kitu tunafanya.

Uganda tuu hapo imeshatuzidi Sasa Kuna kipi Cha maana tunafanya?
 
Roho ya Tuwa... kumbe ilikuwa mtu kala advert deal la wateja wake.
Yaani pasu la juu kwa ju.
 
Bandari jamani BANDARI 😀 Kuendelea sio now na hiyo 5m ya watalii ifikapo mwaka tajwa sio rahis kama inavyoongelewa tatizo wizara zetu zinaongozwa na watu akili ishachoka wizara waliojaa ni wazee sasa ukimwambia atangaze utalii kwa kutumia tiktok siatakuona kituko mtoto huna adabu waanzie kwenye uongozi na sio kwenye kutangaza angalia nani ataitangaza akili iwe inachangamka sio iliyolala

NAWASILISHA
 
sasa unaongea nini aisee, kwahiyo unataka kutuambia kuwa tanzania hakuna utalii au nini? majengo yapo, ila rwanda sijaona cha kwenda kuangalia, labda wanawake na masokwe na wale matwiga aliyopeleka magufuli burigi wakakimbilia rwanda nasikia wameanza kuzaliana kule soon labda watapata watalii kupitia hao.
Unajua Tatizo la Tatizo la Tanzania ni kukariri utalii ni mbuga za wanyama pekeake! Fukwe tumelala fofofo! Ndo maana matokeo ni madogo sana!
 
Unajua Tatizo la Tatizo la Tanzania ni kukariri utalii ni mbuga za wanyama pekeake! Fukwe tumelala foto! Ndo maana matokeo ni madogo sana!
kwahiyo unataka kutuambia rwanda kuna fukwe? au unaamka usingizini sasaivi.
 
Bandari jamani BANDARI 😀 Kuendelea sio now na hiyo 5m ya watalii ifikapo mwaka tajwa sio rahis kama inavyoongelewa tatizo wizara zetu zinaongozwa na watu akili ishachoka wizara waliojaa ni wazee sasa ukimwambia atangaze utalii kwa kutumia tiktok siatakuona kituko mtoto huna adabu waanzie kwenye uongozi na sio kwenye kutangaza angalia nani ataitangaza akili iwe inachangamka sio iliyolala

NAWASILISHA
Tanzania pia ili upate watalii wengi lazima iwe na viwanja vya ndege vya kimataifa kama Mbeya na Mwanza kwa kuwa utalii pia huchochewa na biashara! Miji hiyo niliyotaja ikiwekewa mazingira hayo lazima impact itaongezeka sana!
 
Kijana hamia Rwanda tu kwasababu huna faida yoyote hapa Tanzania. Ni ujinga uliotukuka kuifananisha nchi yako na Rwanda
 
Tanzania pia ili upate watalii wengi lazima iwe na viwanja vya ndege vya kimataifa kama Mbeya na Mwanza kwa kuwa utalii pia huchochewa na biashara! Miji hiyo niliyotaja ikiwekewa mazingira hayo lazima impact itaongezeka sana!
kinachohitajika sasahivi hapa ni njia nafuu ya kuitangaza nchi tu. viwanja vipo. kuna DSM, hii inahudumia pia na zanzibar, kuna Kilimanjaro ambako madege makubwa yeyote yanatua na hii ni kwa ajili ya utalii wa mlima kilimanjaro, mbuga zilizoko arusha na Manyara hadi serengeti. mbeya uwanja tayari upo kwa ajili ya kuhudumia Ruaha national park kwa kuingilia mlango wa mbarari. mwanza hakuna utalii wowote wa kuhangaisha pesa yetu, labda kama tukiwekeza miundombinu/recreation ziwani, michezo ya ziwani, mashindano ya boat na mitumbwi n.k ila kuna wasukuma walishakula wanyama wooote. hata wale walioko kisiwa cha Lubondo wapo hatarini kuliwa na wasukuma.
 
kwahiyo unataka kutuambia rwanda kuna fukwe? au unaamka usingizini sasaivi.
Namaanisha kuwa wabunifu mfano Rwanda saizi wana utalii wa kimikutano na matamasha kama the Giants of Africa Diamond alifungua! Miundombinu ubunifu ndo inaleta watalii kama huna vitu hivo utafeli tu utane usitake!
 
upo sahihi. wamehangaika sana kuipiku Arusha lakini bado tu inawasumbua. wiki hii jengo la posta la afrika litafunguliwa arusha na ni msumari mwingine mkali kwa kagame kwasababu tangu enzi kagame uwa anashindana sio na Tanzania yote, anashindana na Arusha. hata ile mahakama ya rwanda alitaka ihamishiwe kigali kwasababu wanyarwanda hawafaidiki nayo, alisema wao ndio wameumizwa halafu inafaidisha na kuendeleza nchi nyingine.
 
kinachohitajika sasahivi hapa ni njia nafuu ya kuitangaza nchi tu. viwanja vipo. kuna DSM, hii inahudumia pia na zanzibar, kuna Kilimanjaro ambako madege makubwa yeyote yanatua na hii ni kwa ajili ya utalii wa mlima kilimanjaro, mbuga zilizoko arusha na Manyara hadi serengeti. mbeya uwanja tayari upo kwa ajili ya kuhudumia Ruaha national park kwa kuingilia mlango wa mbarari. mwanza hakuna utalii wowote wa kuhangaisha pesa yetu, labda kama tukiwekeza miundombinu/recreation ziwani, michezo ya ziwani, mashindano ya boat na mitumbwi n.k ila kuna wasukuma walishakula wanyama wooote. hata wale walioko kisiwa cha Lubondo wapo hatarini kuliwa na wasukuma.
Sidhani kama unataarifa sahithi! Mwanza ndo iko karbu na serengeti kuliko Arusha au Kilimanjaro!
Wewe unaleta maneno ya kukashifu wasukuma kwenye maada nyeti kama hii! Mwanza ukiwa na International Airport wageni wengi sana watashuka pale na kuelelkea Serengeti,Rubondo,Saanane na utalii wa ziwa na Mandhari yake!
 
basi wajenge miundombinu, si nilisikia airport wanaiboresha? watengeneze barabara bora toka mwanza hadi serengeti/mugumu, magufuli hakuliona hilo akaona bora ajenge airport chato ya kudondoka wachawi.
 
upo sahihi. wamehangaika sana kuipiku Arusha lakini bado tu inawasumbua. wiki hii jengo la posta la afrika litafunguliwa arusha na ni msumari mwingine mkali kwa kagame kwasababu tangu enzi kagame uwa anashindana sio na Tanzania yote, anashindana na Arusha. hata ile mahakama ya rwanda alitaka ihamishiwe kigali kwasababu wanyarwanda hawafaidiki nayo, alisema wao ndio wameumizwa halafu inafaidisha na kuendeleza nchi nyingine.
Na kwenye conference kwa sasa Kigali inaipiga bao Arusha kwa sasa nuchi ya Rwanda inaupromote sana mji wao wa kigali!
Saizi Fly Emirates wanabase yao Kigali!
Ndo maana mwaka jana uliona Ifantino wa FIFA alifanyia mkutano hapo!
Kagame ni big brain na innovation anayo ya kutosha Sie tunafanya mambo locally sana!
 
vyovyote wafanyavyo, ila arusha itabaki arusha tu. kuna uzuri wake pale. pia, hata wakiizidi arusha kwa sasa kuna siku tutapata kiongozi wa maana atakayeiboresha ikarudi kweney geneva ya afrika kama inavyojulikana.
 
basi wajenge miundombinu, si nilisikia airport wanaiboresha? watengeneze barabara bora toka mwanza hadi serengeti/mugumu, magufuli hakuliona hilo akaona bora ajenge airport chato ya kudondoka wachawi.
Ujinga wa Magufuli usiifanye serkali isimalize ujenzi wa Mwanza International Airport na ukumbuke pia Mwanza kwa wasafiri wa ndani na local flight inaongoza ukitoa Dar!
Mwanza ni potential kwa Business na Tourism ila serkali imelala fofofo!
 
Tanzania ilianza kutangaza Utalii mpaka Wembley, miaka ya Kikwete, hao walijifunza kupitia kwetu.

Sisi tuna mbinu zingine sasa hivi za kutangaza utalii, hapatoshi.

Cheza na mama Samia wewe?
Mbinu za wapiii??
Hamna kila kitu.
 
vyovyote wafanyavyo, ila arusha itabaki arusha tu. kuna uzuri wake pale. pia, hata wakiizidi arusha kwa sasa kuna siku tutapata kiongozi wa maana atakayeiboresha ikarudi kweney geneva ya afrika kama inavyojulikana.
Arusha kwa ilivo na vitu tokea miaka ya 80 haikupaswa kuwa hapo!
Serlikali ilifanya uzembe!
Pia ujue changamoto ni vipao mbele vya serkali na ndo unachokiona ni kurundika vitu vyote Dar na kusahau maeneo yatakayowaingizia kipato wakiwekeza kwa nguvu na maarifa kama kwenye utalii!
 
Back
Top Bottom