ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #21
Tanzania hakuna majengo ya Zamani? Nini mana ya Stone Stone au Bagamoyo etc?Tunisia kuna majengo ya zamani enzi za urumi, Tanzania kuna safari tourism kubwa sana kama haujui nenda Arusha hata sasaivi utaona. pamoja na mengine yote sa100 alianza vyema sana kwenye utalii, sasa rwanda utaenda safari kweli, au hujui unachokiongea? kuona masokwe? si waje tu wakuone wewe hapa bongo kwasababu sidhani kama akili yako ni tofauti na ya sokwe kama huelewi hili.
Nauliza Kuna kitu chochote Cha maana ambacho Tanzania tunaliweza au tumefanya Kwa usahahihi?
Wewe unadhani hoa Watalii mil.1 Huwa wanaenda Rwanda kufanya nini?