Hako ka nchi kelele nyingi ,hakuna cha maana.
Zaidi ya barabara mbili na majengo manne kwingine ni vumbi tu na makorokoro.
Sidhani kama hiyo investment inawalipa kwa sasa.
Hapo ni ubunifu wa wizara ya Utalii tu, shida ya bongo Pinga Pinga Fc watapiga kelele, Royal tour haikutumika hata sent ya mbongo ila hizo kelele zake sasa 🤣🤣🤣🤣 vipi leo tutoe 30B tuwape Utd, si utaona hadi maandamano barabaran?
Hii haijakaa sawa au ndio tuseme Rwanda inatuzid nini. Hivi Rwanda kuna nini cha kuangalia. Embu tuambieni au ndio hao sokwe?? Haya matangazo sielewi elew.