Rwanda imeweza kutangaza Utalii kwenye klabu kubwa za Ulaya (Arsenal na Bayern). Tanzania inakwama wapi?

Rwanda imeweza kutangaza Utalii kwenye klabu kubwa za Ulaya (Arsenal na Bayern). Tanzania inakwama wapi?

Hata sijuagi ila naonaga kuna Jersey zimeandikwa Visit Tanzania hio imekaaje au za mchongo zile
 
Hako ka nchi kelele nyingi ,hakuna cha maana.
Zaidi ya barabara mbili na majengo manne kwingine ni vumbi tu na makorokoro.
Sidhani kama hiyo investment inawalipa kwa sasa.
 
Serkali ya Rwanda idara ya uslama wa taifa Ni imara sna

Wako ahead kwa kila nyambo

HV ujaona Hadi arsenal Ni visit rwanda
Acheni kuwapa vichwa watu wa usalama wa taifa,

Hapo ni ubunifu wa wizara ya Utalii tu, shida ya bongo Pinga Pinga Fc watapiga kelele, Royal tour haikutumika hata sent ya mbongo ila hizo kelele zake sasa 🤣🤣🤣🤣 vipi leo tutoe 30B tuwape Utd, si utaona hadi maandamano barabaran?
 
Hii haijakaa sawa au ndio tuseme Rwanda inatuzid nini. Hivi Rwanda kuna nini cha kuangalia. Embu tuambieni au ndio hao sokwe?? Haya matangazo sielewi elew.
Kinakuuma nini

Kila nchi inatangaza vya kwake
 
Back
Top Bottom