Urban Edmund
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 2,250
- 3,607
Hata sijuagi ila naonaga kuna Jersey zimeandikwa Visit Tanzania hio imekaaje au za mchongo zile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni kuwapa vichwa watu wa usalama wa taifa,Serkali ya Rwanda idara ya uslama wa taifa Ni imara sna
Wako ahead kwa kila nyambo
HV ujaona Hadi arsenal Ni visit rwanda
Kinakuuma niniHii haijakaa sawa au ndio tuseme Rwanda inatuzid nini. Hivi Rwanda kuna nini cha kuangalia. Embu tuambieni au ndio hao sokwe?? Haya matangazo sielewi elew.