ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #41
Rwanda wameenda mbali zaidi ya kuwaza sokwe mtu,Utalii wa MICE ni mkubwa sanakwahiyo unataka kutuambia rwanda kuna fukwe? au unaamka usingizini sasaivi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rwanda wameenda mbali zaidi ya kuwaza sokwe mtu,Utalii wa MICE ni mkubwa sanakwahiyo unataka kutuambia rwanda kuna fukwe? au unaamka usingizini sasaivi.
Asee nimecheka kama sio mimi 😀 wasukuma wamekuwaje tenakinachohitajika sasahivi hapa ni njia nafuu ya kuitangaza nchi tu. viwanja vipo. kuna DSM, hii inahudumia pia na zanzibar, kuna Kilimanjaro ambako madege makubwa yeyote yanatua na hii ni kwa ajili ya utalii wa mlima kilimanjaro, mbuga zilizoko arusha na Manyara hadi serengeti. mbeya uwanja tayari upo kwa ajili ya kuhudumia Ruaha national park kwa kuingilia mlango wa mbarari. mwanza hakuna utalii wowote wa kuhangaisha pesa yetu, labda kama tukiwekeza miundombinu/recreation ziwani, michezo ya ziwani, mashindano ya boat na mitumbwi n.k ila kuna wasukuma walishakula wanyama wooote. hata wale walioko kisiwa cha Lubondo wapo hatarini kuliwa na wasukuma.
Unajua jamaa anautani sana! Ila mi nijuavyo kuna watu wengi sana hawapendi kuona maendeleo ya mikoa ya wasukuma! Ila ukienda unawashuhudia jamaa wanaendelea tu na hawana neno na mtu!Asee nimecheka kama sio mimi 😀 wasukuma wamekuwaje tena
Sana yan viongozi wetu wana akili ya miaka 10 ya nyuma ndo inawaongozaNa kwenye conference kwa sasa Kigali inaipiga bao Arusha kwa sasa nuchi ya Rwanda inaupromote sana mji wao wa kigali!
Saizi Fly Emirates wanabase yao Kigali!
Ndo maana mwaka jana uliona Ifantino wa FIFA alifanyia mkutano hapo!
Kagame ni big brain na innovation anayo ya kutosha Sie tunafanya mambo locally sana!
Ukweli wameendelea maana hata me niko mwanza naonaUnajua jamaa anautani sana! Ila mi nijuavyo kuna watu wengi sana hawapendi kuona maendeleo ya mikoa ya wasukuma! Ila ukienda unawashuhudia jamaa wanaendelea tu na hawana neno na mtu!
NAKAZIATanzania pia ili upate watalii wengi lazima iwe na viwanja vya ndege vya kimataifa kama Mbeya na Mwanza kwa kuwa utalii pia huchochewa na biashara! Miji hiyo niliyotaja ikiwekewa mazingira hayo lazima impact itaongezeka sana!
Ulishawahi kujiuliza wafanyakazi wa migodi na wafanya biashara wa madini na watu wa kawaida wakipata uwanja wa Ndege Mwanza itakuwaje? Diaspora anatoka Ulaya anakuja Mwanza au Kagera hashuki tena Dar anakuja direct Mwanza! Mzunguko wa biashara utakuwa mkubwa sana na Flight za Mwanza Dubai zitakuwepo maana wafanya biashara wa miji ya Mwanza,Katoro,Kahama ,Musoma ,kigoma na Bukoba hawataenda tena kupanda ndeg Dar!NAKAZIAUlishawahi kujiuliza migodi
Mwanza utalii upo mkuu kwano Kutoka Mwanza kwenda Serengeti National Park in kilometa 100 tu wakati kutoka KIA kwenda Serengeti ni zaidi ya kilometa 300 issue hapo utalii wa Serengeti, Ngorongoro, Manyara na Tarangire upo centralized Arusha na tumekaririshwa hivyo mpaka unakuta mtu yupo Shinyanga kama anataka kwenda Serengeti kama hafahamu vizuri anajikuta anaenda Arusha kumbe alitakiwa kupasua hapo Bariadi to Lamadi ndani ya masaa 2 yupo Geti la Ndabaka)kinachohitajika sasahivi hapa ni njia nafuu ya kuitangaza nchi tu. viwanja vipo. kuna DSM, hii inahudumia pia na zanzibar, kuna Kilimanjaro ambako madege makubwa yeyote yanatua na hii ni kwa ajili ya utalii wa mlima kilimanjaro, mbuga zilizoko arusha na Manyara hadi serengeti. mbeya uwanja tayari upo kwa ajili ya kuhudumia Ruaha national park kwa kuingilia mlango wa mbarari. mwanza hakuna utalii wowote wa kuhangaisha pesa yetu, labda kama tukiwekeza miundombinu/recreation ziwani, michezo ya ziwani, mashindano ya boat na mitumbwi n.k ila kuna wasukuma walishakula wanyama wooote. hata wale walioko kisiwa cha Lubondo wapo hatarini kuliwa na wasukuma.
DPWorldTanzania hakuna majengo ya Zamani? Nini mana ya Stone Stone au Bagamoyo etc?
Nauliza Kuna kitu chochote Cha maana ambacho Tanzania tunaliweza au tumefanya Kwa usahahihi?
Wewe unadhani hoa Watalii mil.1 Huwa wanaenda Rwanda kufanya nini?
nje ya mada kdg Hiv serikali huwa wanapitiaga kwenye mitandao kuangalia wananchi wake wanasemajeUlishawahi kujiuliza wafanyakazi wa migodi na wafanya biashara wa madini na watu wa kawaida wakipata uwanja wa Ndege Mwanza itakuwaje? Diaspora anatoka Ulaya anakuja Mwanza au Kagera hashuki tena Dar anakuja direct Mwanza! Mzunguko wa biashara utakuwa mkubwa sana na Flight za Mwanza Dubai zitakuwepo maana wafanya biashara wa miji ya Mwanza,Katoro,Kahama ,Musoma ,kigoma na Bukoba hawataenda tena kupanda ndeg Dar!
Fact.Hatuna elimu matembezi (exposure)
Pia tunadhani kutumia pesa nyingi ili upate pesa nyingi zaidi ni kupoteza.
Kagame angeishia YouTube tu na si arsenal na Bayern..watalii Kuna sehemu wanapatikana siyo kila sehemu,kuja kutalii kunahitaji hela siyo bando la youtubewewe hata hueleweki hata unachoongea. social media kwa dunia ya ulimwengu wa kwanza ndio inafikia mamilioni wengi kwa uhakika kuliko television. pia kama hauelewi ndio option yenye bei nafuu zaidi. hata hiyo mipira wanatangazia mwisho wa siku clips zinasambazwa kwenye mitandao na watu wanaionea huko na kwenye mitandao clip inakaa muda mrefu zaidi, mtu anaweza kuidownload na kuwa nayo kuiona mara kadhaa. peng'a kamasi hizo mkuu zimesambaa hadi kwenye ubongo wako.
UfisadiHivi Kwa Tanzania ni jambo gani ambako tunaliweza na tumelifanya Kwa ufasaha?
Kuona sokwe wa milimani na makumbusho ya kilichotokea mwaka 1994kwahiyo tuseme kweli Rwanda kuna watalii wameenda kutokana na matangazo hayo? kwenda kuona nini? wanawake?
Tembelea upagawe na mizimu ya watu waliouliwa kikatili na mauaji ya kimbali! Ukitembelea unasaidia kuipunguza maana ukiondoka unaondoka nayo ukapambane nayo makwenu!Hii haijakaa sawa au ndio tuseme rwanda inatuzid nn. Hivi rwanda kuna nini chakuangalia. Embu tuambieni au ndio hao sokwe?? Haya matangazo sielewi elew
Wahuni wanatakatisha fedha!Hii haijakaa sawa au ndio tuseme Rwanda inatuzid nini. Hivi Rwanda kuna nini cha kuangalia. Embu tuambieni au ndio hao sokwe?? Haya matangazo sielewi elew.