Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
๐ญ Sijui mwaka 2019 ulikua wapi ?? Lakini mwaka huo ndo ilikua historia barani afrika baada ya nchi ya Rwanda kuwa nchi ya kwanza afrika kufungua kiwanda cha kutengeneza simu.
๐ญ Kiwanda hicho ambacho kinapatikana kigali kinatengeneza simu ambazo zinaitwa "๐๐๐ซ๐ ๐ฉ๐ก๐จ๐ง๐", kuanzia Designs mpaka uzalishaji nzima unafanyika Rwanda.
Kiwanda kinaungwa mkono na Serikali ya Rwanda ikiwa na neno made in ๐ฅ๐๐ฎ๐ป๐ฑ๐ฎ, lengo kubwa ni kuweza kupunguza Uagizaji wa bidhaa toka nje, Pamoja na kuipa Rwanda nguvu ya kujenga viwanda vya ndani na kuwapa watu nafasi ya ajira wanarwanda.
๐ญ Kiwanda hicho kimeshaunda simu za matoleo tofauti tofauti kuna ๐๐๐ซ๐ ๐ ๐ง๐ ๐๐๐ซ๐ ๐ , ambapo ni simu ambazo bei zake sio kubwa sana lengo watu wengi waweze kumiliki.
๐ญ Kiwanda kinathibitisha ๐ฎ๐ณ๐ฟ๐ถ๐ธ๐ฎ inaweza kwa kila kitu sio Simu tu Tunaweza kuongoza hata kwa Masuala ya Teknolojia kama tukiamua na kuleta ushindani toka china, Japan, Marekani, Urusi nk.
Unasemaje je wataweza kushindana na Samsung, apple, Infinix, Huawei kwenye matoleo ya simu nzuri na bora kwa Matumizi ??
#rwanda #maraphone #rwandaphones #smartphones #mara #bongotech255