Rwanda inakua nchi ya kwanza toka Afrika kutengeneza simu zenye kuleta ushindani na Samsung na Apple, je Wataweza??

Rwanda inakua nchi ya kwanza toka Afrika kutengeneza simu zenye kuleta ushindani na Samsung na Apple, je Wataweza??

Shauri yao sisi tunaupiga mwingi, ya Rwanda waachieni wanyarwanda njooni Kisutu tu deal na ya kwetu.
 
Cotan ipo jirani tu hapo halafu hatuwezi hata kutengeneza simu?
Hizi circuit board zilipaswa kutengenezwa sana huu ukanda.
Microprocessors, capacitors nk zote zilipaswa kufyatuliwa hapa na kuuzwa ughaiibuni huko.
 
Ukiachana na tamaa za PK kutawala nchi zote za ukanda huu ila ukweli usemwe jamaa ana talanta ya uongozi na uzalendo, achana na sie huku wa mi five again
Huku sisi tunazalisha wakata mauno tu

Ova
 
Cotan ipo jirani tu hapo halafu hatuwezi hata kutengeneza simu?
Hizi circuit board zilipaswa kutengenezwa sana huu ukanda.
Microprocessors, capacitors nk zote zilipaswa kufyatuliwa hapa na kuuzwa ughaiibuni huko.
Tuko bize na kukuna nazi

Ova
 
Tuko bize na kukuna nazi

Ova

Ni maajabu sana, pale Mashariki DRC imejaa Cotan, kule Katanga kumejaa Copper na. Dhahabu, cobalt nk.

Zambia Kuna Copper,dhahabu nk.

Tanzania Kuna Dhahabu, Graphite, Gold, Iron ore, makaa ya mawe nk.

Halafu hatuwezi kufanya chochote kwenye hayo madini kupata products kuanzia electronics devices, rockets parts, jet engines and aircraft parts nk.
Eti tunashangilia Mtanzania kuwa bosi wa WHO Africa na tumebaki users wa products ambazo raw materials ziko Kila mahala.
 
Hivi kile kiwanda alichotaka anzisha mengi kiliishia wapi

Ova
 
labda kushindana na itel,infinix na simu za kichina zisizo na majina
 
View attachment 3338364

💭 Sijui mwaka 2019 ulikua wapi ?? Lakini mwaka huo ndo ilikua historia barani afrika baada ya nchi ya Rwanda kuwa nchi ya kwanza afrika kufungua kiwanda cha kutengeneza simu.

View attachment 3338372

💭 Kiwanda hicho ambacho kinapatikana kigali kinatengeneza simu ambazo zinaitwa "𝐌𝐚𝐫𝐚 𝐩𝐡𝐨𝐧𝐞", kuanzia Designs mpaka uzalishaji nzima unafanyika Rwanda.

View attachment 3338366

Kiwanda kinaungwa mkono na Serikali ya Rwanda ikiwa na neno made in 𝗥𝘄𝗮𝗻𝗱𝗮, lengo kubwa ni kuweza kupunguza Uagizaji wa bidhaa toka nje, Pamoja na kuipa Rwanda nguvu ya kujenga viwanda vya ndani na kuwapa watu nafasi ya ajira wanarwanda.

View attachment 3338367

💭 Kiwanda hicho kimeshaunda simu za matoleo tofauti tofauti kuna 𝐌𝐚𝐫𝐚 𝐗 𝐧𝐚 𝐌𝐚𝐫𝐚 𝐙 , ambapo ni simu ambazo bei zake sio kubwa sana lengo watu wengi waweze kumiliki.

View attachment 3338368

💭 Kiwanda kinathibitisha 𝗮𝗳𝗿𝗶𝗸𝗮 inaweza kwa kila kitu sio Simu tu Tunaweza kuongoza hata kwa Masuala ya Teknolojia kama tukiamua na kuleta ushindani toka china, Japan, Marekani, Urusi nk.

View attachment 3338369

Unasemaje je wataweza kushindana na Samsung, apple, Infinix, Huawei kwenye matoleo ya simu nzuri na bora kwa Matumizi ??

#rwanda #maraphone #rwandaphones #smartphones #mara #bongotech255
tangu mwaka 2019 sijawai ziona hizo simu duka lolote hapa tanzania wala kuzisikia
 
Back
Top Bottom