Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,943
Habari!
Rwanda iko mbele sana kiintelejensia. Wameweza kutoa masomo ya kiintelejensia kwa karibia vijana wao wote.
Simaanishi wote ni watumishi wa Chombo cha usalama wa Taifa la Rwanda ila wengi ni maagent.
-Rwanda hesabu ya wendawazimu wote inajulikana , wamepewa watu maalumu wa kuwaangalia. Ukienda kichwakichwa kujifanya chizi utadakwa haraka.
- Ukioa Mrwanda jua kuwa mtoto wa kwanza atazaa na Mrwanda mwenzake ili azae Mrwanda atakayekulia ugenini bila kumjua ilhali sisi tukimhesabu ni Mwenzetu. Huyu atakuwa nchini kwa manufaa yao.
Nitaleta hints zaidi nikitulia sasa niko busy kidogo. Nasikia hadi mabody guards wa wakuu kadhaa wa nchi za nje ya Rwanda wengi wao ni Wanyarwanda.