Mibas
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,196
- 6,367
Sasa vitisho vya nini ndugu. Si ufikishe ushauri wako kirafiki tu?Ongea mengine ila ishu ya kuhisisha walinzi wa mkuu wa nchi kuwa ni wanyarwanda iache Mara moja,
Usidhani jf ni mbinguni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa vitisho vya nini ndugu. Si ufikishe ushauri wako kirafiki tu?Ongea mengine ila ishu ya kuhisisha walinzi wa mkuu wa nchi kuwa ni wanyarwanda iache Mara moja,
Usidhani jf ni mbinguni.
Soma historia ya watutsi kutoka kwa wanahistoria ili ujue mbinu mbalimbali walizotumia kung'oa na kutawala himaya za jamii mbalimbali katika maeneo waliyopita.Sio kweli.
Wanyarwanda kwanza wanadharaurika sana uko Kagera, yaani muhaya akizaa na mnyarwanda anaonekana kama msomi kadhaa na mzaramo wa visingeli. Hawa watu ktk mkoa wa Kagera wanachukuliwa kama vibarua wa mashambani na wanawatumia kama watu wa kuchunga ng'ombe, wengi wapo Kagera wanachunga ng'ombe. Lakini watu waliopo njee ya Kagera, wanawaogopa wanyarwanda. Yaani nikiona MTU anamuogopa mnyarwanda najisikia kichefu chefu
Intelligence ina matawi mengi,kuna ELINT,OSINT,RUMINT,HUMINT etc
wewe utakuwa na maana ni wazuri kwa HUMINT,
lakini kama mtusi unamjua tu kwa kumtizama puani,anakuaje mzuri kwa human intelligence?,
anaweza vipi kublend na watu na asijulikane,
at least labda wanaweza kuwa wazuri kwa mambo ya Honeytrap,
lakini ni mjinga peke yake anaweza chukua msichana wa kitusi akaanza kuropoka ishu sensitive na asijue hatari yake.
In short hakuna cha kupeleleza,
japo wanaweza kuwa wazuri katika Insertion kuliko nchi zinazoizunguka kutokana na ukweli kuwa wanyarwanda waliwahi kuishi uhamishoni na wakazaana uhamishoni na kuchukua uraia wa hizo nchi,lakini bado wao ni wanyarwanda na wanawajibika kwa rwanda
Aisee! TISS inabidi ipige kazi kwelikweli ili kuwachekecha Hawa jamaamkuu na wanavyojua kujituma kwenye kamati makanisani,vikao vya mtaaa na chama tawala daaaah wanashika tu nyadhifa taratibu tena ni wanawake wabaya san hawa
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Ndugu sijazungumzia chama nimezungumzia Taifa,wale ambao wakijulikana kuwa wamechanganya mataifa wasipewe nyadhifa nyeti serika,lini ili kulilindaTaifa na wajanja Wa nje,ni Mara 100 mtz aiuze nchi yake kwa tamaa yake kuliko eti Siri iuzwe na mlowezi aliyejipenyeza serikalini,kazi ziko nyingi atafute kazi nyengine sio ajiingize kwenye siasa zetuACHA UBAGUZI, HAUTAKUSAIDIA POPOTE, HAUONI MATAIFA MAKUBWA KAMA UK WATOTO WA WAGENI WALIOZALIWA APA PIA WANASHIKA NAFASI KUBWA KUBWA KAMA VIONGOZI WA UHAMIAJI NA MAGAVANA, WABUNGE NK, KAMA TUTAENDELEA NA DHAMBI YA UBAGUZI ( KUWAACHA WASOMI KWA SABABU YA MAKABILA AU WAZAZI WAO SI WAZALIWA WA APA) BASI TAMBUA TUTAKUA NI MIONGONI MWA NCHI MASKINI MILELE, tunawaacha wasomi watanzania halisi tunachagua mazweta ambao hawajui chochote kwa sababu tu ni chama FLANI
Tatizo vyuraanaona pia watanzania weng wanawakimbilia san a wanawake wa kinyarwanda awajui whats next mtaan tunao wengi sana wanajifanya watanzania dam dam
Habari!
Rwanda iko mbele sana kiintelejensia. Wameweza kutoa masomo ya kiintelejensia kwa karibia vijana wao wote.
Simaanishi wote ni watumishi wa Chombo cha usalama wa Taifa la Rwanda ila wengi ni maagent.
-Rwanda hesabu ya wendawazimu wote inajulikana , wamepewa watu maalumu wa kuwaangalia. Ukienda kichwakichwa kujifanya chizi utadakwa haraka.
- Ukioa Mrwanda jua kuwa mtoto wa kwanza atazaa na Mrwanda mwenzake ili azae Mrwanda atakayekulia ugenini bila kumjua ilhali sisi tukimhesabu ni Mwenzetu. Huyu atakuwa nchini kwa manufaa yao.
Nitaleta hints zaidi nikitulia sasa niko busy kidogo. Nasikia hadi mabody guards wa wakuu kadhaa wa nchi za nje ya Rwanda wengi wao ni Wanyarwanda.

Amkague haswa.Kwahiyo mwanamuziki AY kala hasara daah akipata mtoto wake wa kwanza lazima ampekue sana
Upo sahihi mkuu Kuna mkoa unaitwa kigoma wamejaa tele pia wanasoma shule nimejaribu kufuatilia kama wana nyaraka za kuishi nchini na kufanya shughuli zao hususani ufugaji Lkn jibu ni kwamba viongozi wanavuta tu mkwanja maana ng'ombe wao wame jazana katika hifadhi ya wanyama pori ya akiba MOYOWOSI inayozunguka vijiji kama BUSUNZU kifura, kisogwe pia watoto wao wanasoma hapa nchini Mwisho wa siku wakimaliza masomo utasikia wamejiunga na jeshi la kujenga taifa mpk Jwtz, uhamiaji, police na kwingineko ambapo ni hatari kwa taifa letu Huku tukiebdelea kuhujumiwa maana sio wa kwetu...... Kuna kipindi mifugo yao ilikamatwa ktk eneo la hifadhi Lkn bado Yupo nchini na anaendele kufanya akitakacho ni dharau tosha kwa wa tz na inauma pia tatizo Lipo kwa baadhi ya viongozi kutosikiliza wananchi wanasema nn kwakuwa wametufundisha kuwafuata ukisema unaitwa mjuaji Lkn inauma kwa nchi yangu ngoja tuwe wananchi wa kuwafuata..tubaki uchi kwa watoto japo mtoto nae akikua Huwa mzazi Lkn hawezi kumzidi mzazi..... NAKUPENDA TANZANIAHabari!
Rwanda iko mbele sana kiintelejensia. Wameweza kutoa masomo ya kiintelejensia kwa karibia vijana wao wote.
Simaanishi wote ni watumishi wa Chombo cha usalama wa Taifa la Rwanda ila wengi ni maagent.
-Rwanda hesabu ya wendawazimu wote inajulikana , wamepewa watu maalumu wa kuwaangalia. Ukienda kichwakichwa kujifanya chizi utadakwa haraka.
- Ukioa Mrwanda jua kuwa mtoto wa kwanza atazaa na Mrwanda mwenzake ili azae Mrwanda atakayekulia ugenini bila kumjua ilhali sisi tukimhesabu ni Mwenzetu. Huyu atakuwa nchini kwa manufaa yao.
Nitaleta hints zaidi nikitulia sasa niko busy kidogo. Nasikia hadi mabody guards wa wakuu kadhaa wa nchi za nje ya Rwanda wengi wao ni Wanyarwanda.
Amkague haswa.
Zamani vijana walikuwa wanapewa elimu ya asili ya kujua mtoto ni wako au la!
Mimi mtoto hata akiwa mchanga kama si wangu nitajua within a minute.
Ni sahihi ndugu kuwa Kuna interaction baina ya watu nchi na nchi Lkn taarifa za kiusalama hukusanywa kupitia hao hao ulio waamini ni wema Kwako kwa kuwa Umeoa au kuolewa Kwako Lkn kumbuka TRUST WILL GET YOU KILLEDI
Ila sisi watanzania ni waoga sana, unakuta MTU ana mke na watoto anawaogopa hawa wanyarwanda, ivi kwa nn? Mnawaogopa hawa jamaaa. Ngoja nikutoe wasisi kwamba kuna wanyarwanda wengi waliozaliwa apa Tanzania na wana uraia wa Tanzania, sisi tunaokaaa maeneo ya kagera kuna wanyarwanda wengi tuuu, mbona tunaishi nao tokea kitambo sana, na tumezaliana nao sasa wewe kaa uendelee kuogopa ogopa. Mambo ya jiografia uwezi kufanya chochote hayo ni maswala ya jiografia
Ni sawa na wamakonde wa mtwara na msumbiji
Ni sawa na wamasai wa arusha na Kenya
Ni sawa wahaya wa mtukula na waganda Wa maeneo ya mbarara wanafanana
Ni sawa na wajaruo wa mkoa wa Mara na wakenya
Ni saw a na wasomari Wa Tabora na wasomalia
Ni sawa na wahindi Wa Tanzania na waliopo India
Ni sawa na wasubi wa Tanzania na warundi wa Burundi.
Haya makabila yaliopo pembezoni chimbuko lake ni nchi izo za njee na ndio Maana marehemu Nyerere alisema mikoa mikubwa ya pembeni aiwezi kutoa kiongozi Mkubwa kwa sababu ya jiografia yake na nchi izo
Kwa iyo kijana punguza kuogopa ogopa wanyarwanda. Ni watu wa kawaida sana,
Well saidMimi jana nimeshangaa sana,
kule syria,gari lilokuwa limewabeba askari 7 wa serikali limelipuka na kuwaua wote,lilikuwa limetegwa bomu,
sasa hao askari 7 ni wanatoka kwenye kikosi kile kinachosimamia launcher moja ya S-200,
hiyo ndo ileile iliyodungua ndege ya israel miezi 2 iliyopita,na hao askari ndo walewale siku hiyo ndo waliidungua ile ndege,
sasa unajiuliza israel iliwatambua vipi? Hadi itume watu kuwamaliza?,
jibu ni kuwa ndani ya nchi za kiarabu kuko heavily inflitrated,
kuna watu ukiwaangalia utamuona ni mwarabu,ila moyoni myahudi,ndo hao kina al baghdad,na wanatuma taarifa nchini kwao mda wowote ukitakiwa,
hawa ndo sawa na hao wanyarwanda