I
Ila sisi watanzania ni waoga sana, unakuta MTU ana mke na watoto anawaogopa hawa wanyarwanda, ivi kwa nn? Mnawaogopa hawa jamaaa. Ngoja nikutoe wasisi kwamba kuna wanyarwanda wengi waliozaliwa apa Tanzania na wana uraia wa Tanzania, sisi tunaokaaa maeneo ya kagera kuna wanyarwanda wengi tuuu, mbona tunaishi nao tokea kitambo sana, na tumezaliana nao sasa wewe kaa uendelee kuogopa ogopa. Mambo ya jiografia uwezi kufanya chochote hayo ni maswala ya jiografia
Ni sawa na wamakonde wa mtwara na msumbiji
Ni sawa na wamasai wa arusha na Kenya
Ni sawa wahaya wa mtukula na waganda Wa maeneo ya mbarara wanafanana
Ni sawa na wajaruo wa mkoa wa Mara na wakenya
Ni saw a na wasomari Wa Tabora na wasomalia
Ni sawa na wahindi Wa Tanzania na waliopo India
Ni sawa na wasubi wa Tanzania na warundi wa Burundi.
Haya makabila yaliopo pembezoni chimbuko lake ni nchi izo za njee na ndio Maana marehemu Nyerere alisema mikoa mikubwa ya pembeni aiwezi kutoa kiongozi Mkubwa kwa sababu ya jiografia yake na nchi izo
Kwa iyo kijana punguza kuogopa ogopa wanyarwanda. Ni watu wa kawaida sana,