Tetesi: Rwanda inaongoza kwa Mambo ya kiintelejensia Afrika.

Ongea mengine ila ishu ya kuhisisha walinzi wa mkuu wa nchi kuwa ni wanyarwanda iache Mara moja,
Usidhani jf ni mbinguni.
Mbona mange anaropoka kule instagram hamuendi kumkamata au instagram ipo mbinguni
 
Liwalo na liwe,Tusiwaogope wanyarwanda ila intelligence ya kwetu nayo ipambane kwa hilo.
 
Hawo si watanzania ni wao wenyewe wanojifanya watanzania ili kuonyesha tunawogopa.

Eti wanacontrol uongozi wa tz kwa kipi walichonacho labda hata kwenye tano bora za wageni wanomiliki mali na biashara tz hawapo na wangekuepo si tungewaona mbona wasomali ni wengi Tanzania lakini hawabragi kama hawa inferior wa huko
 
Mambo usiyoyajua na yasiyokuhusu yaache kama yakuvyo na hasa kama hayana manufaa kwako binafsi.
Unachokiwaza ww hapo wenzio walishakitambua zaman sana.
Hyo ni hofu yako tu
Huyo ni wa hukohuko anajaribu kutia hofu hakuna mtz anayejitambua atawaogopa hao jamaa tuoche kuwaopa wakenya ambayo waka mbele yetu tuogope taifa maskini
 
Hiyo nchi jinsi mnavyo ipa kichwa hadi unaweza kuogopa lakin ukweli mchungu Tanzania bado ipo vizuri sana ki intelligence pamoja na baadhi ya mambo yanatokana na ujinga wa wana siasa ila kwangu naipa Tz nafasi kuliko nchi yoyote kwa nchi za Africa mashariki
 
Hebu kuwa serious, unatumia akili za wapi mkuu, unafananisha na nchi gani east africa
Rwanda ni kama mkoa wa singida so ni rahisi kujua nini wananchi wanakula kila siku.
 
Kwenye red: Hiyo mbinu wamekuwa nayo kwa karne nyingi. Ukioa mtutsi ilhali wewe siyo, atabebeshwa mimba na mtutsi mwenzake. Utaambiwa ooh watoto wamefanana na wajomba zao kumbe mjomba ndiye baba yao wa ukweli.
 
Hebu kuwa serious, unatumia akili za wapi mkuu, unafananisha na nchi gani east africa
Rwanda ni kama mkoa wa singida so ni rahisi kujua nini wananchi wanakula kila siku.
Mimi sishabikii mleta mada ila nikuulize: Je, mkuu wa mkoa wa Singida anajua wananchi wake wanachokula kila siku? Acha mzaha!
 
Ongea mengine ila ishu ya kuhisisha walinzi wa mkuu wa nchi kuwa ni wanyarwanda iache Mara moja,
Usidhani jf ni mbinguni.
pumbavu sana wewe pimbi, kwani mtu akisema "inahisiwa mkuu wa nchi analindwa na wanyarwanda "kuna ubaya gani?
kwani kusema ni uhaini? lisemwalo lipo, usitishe watu wewe pumbavu tena.
 
Tehehehehehe... mbona kinana hawamwogopi na wakati ni msomali? ukiona watu wanaogopa ujue kuna tatizo mkuu.
 
Hawa dawa yao ni kunyimwa uongozi Wa aina yoyote ule,hata kama amesoma/atasoma mpaka kumaliza vitabu vyote,kuanzia huyo MTANZANIA aliyezaa na mgeni mpaka kizazi chake chote.
Tanzania kwanza
Nalog off
Log in mkuu
 
Kwenye red: Hiyo mbinu wamekuwa nayo kwa karne nyingi. Ukioa mtutsi ilhali wewe siyo, atabebeshwa mimba na mtutsi mwenzake. Utaambiwa ooh watoto wamefanana na wajomba zao kumbe mjomba ndiye baba yao wa ukweli.
Kazi ipo
 
Sio kweli.
Wanyarwanda kwanza wanadharaurika sana uko Kagera, yaani muhaya akizaa na mnyarwanda anaonekana kama msomi kadhaa na mzaramo wa visingeli. Hawa watu ktk mkoa wa Kagera wanachukuliwa kama vibarua wa mashambani na wanawatumia kama watu wa kuchunga ng'ombe, wengi wapo Kagera wanachunga ng'ombe. Lakini watu waliopo njee ya Kagera, wanawaogopa wanyarwanda. Yaani nikiona MTU anamuogopa mnyarwanda najisikia kichefu chefu
 
Leta Source.
Hivi mtu akikuambia "Mimi nimekula wali kwa samaki" utaomba tena source ya taarifa yake?.
Si kila taarifa inabidi iainishiwe source. That's why imeandikwa mahali panapoitwa tetesi.
 
Intelligence ina matawi mengi,kuna ELINT,OSINT,RUMINT,HUMINT etc

wewe utakuwa na maana ni wazuri kwa HUMINT,

lakini kama mtusi unamjua tu kwa kumtizama puani,anakuaje mzuri kwa human intelligence?,
anaweza vipi kublend na watu na asijulikane,
at least labda wanaweza kuwa wazuri kwa mambo ya Honeytrap,
lakini ni mjinga peke yake anaweza chukua msichana wa kitusi akaanza kuropoka ishu sensitive na asijue hatari yake.
In short hakuna cha kupeleleza,

japo wanaweza kuwa wazuri katika Insertion kuliko nchi zinazoizunguka kutokana na ukweli kuwa wanyarwanda waliwahi kuishi uhamishoni na wakazaana uhamishoni na kuchukua uraia wa hizo nchi,lakini bado wao ni wanyarwanda na wanawajibika kwa rwanda
 
Nikajua ni andiko la kiutafiti kumbe ni soga la kwenye vijiwe vya kashata.watakuelewa wapiga porojo wenzako.
 
Inawezekana wanakuzwa au kuna watu wenye vijinasaba vya hukoo kwa kagame watumia platform hii wataka kujulikana ( kutambulika)[emoji23]
 
Hivi mtu akikuambia "Mimi nimekula wali kwa samaki" utaomba tena source ya taarifa yake?.
Si kila taarifa inabidi iainishiwe source. That's why imeandikwa mahali panapoitwa tetesi.
Kula wali na samaki si umekula wewe peke yako hamjala kijiji kizima? So huu mfano wako ni invalid kwa suala uliloliongelea. Tukenda kwenye data kwa mfano mdogo tu labda Google tukatafuta hicho ulichoandika Je tunaweza kuupata ukweli? Reliable source ni muhimu katika kuproove unachosema otherwise ni majungu tu kama hao wengine wanaoamini eti Magufuli kawekwa kwenye urais na Rwanda au museveni amewekwa ikulu na Kagame.
Watanzania mpunguze kupenda porojo nchi haiendeshwi kama sacos
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…