Rwanda inarusha Satelaiti ya Kijeshi. Je, Tuko Salama?

Rwanda inarusha Satelaiti ya Kijeshi. Je, Tuko Salama?

Kenya Wana satellites zaidi ya Moja imeidhuru nini TZ?

Zimbabwe Wana satellite inewasaidia nini?

Mnajua satellite is basically minara ya mawasiliano tu unless mnaogopa hata minara ya mawasiliano.
Hiyo satelaiti inapeleleza hadi chumbani kwako. Msibeze maendeleo hayo. Akitaka kukupiga au kumega sehemu ya nchi anakuwa amejua weakess zako anakufanya atakacho.

Huwezi kuendelea kwa kumchukia tajiri bali utaendelea kwa juhudi alizopitia yeye.

Tanzania ijikite kupata wataalam ili kwenda na wakati.

Itafika wakati Bahima empire itafufuliwa tu
 
Jiulize kwanza Ulimwengu anapata wapi nguvu ya kumtukana Nyerere na Mkapa? Anzia hapo kwanza!
 
Rwanda wanataka satellite for communication purposes, "The minister noted that Rwanda is in talks with a host of nations to help develop its space capabilities in possible deals that will potentially add impetus to the country’s Information and Communication Technology (ICT) ambitions"

Sio Kila satellite inahusiana na mambo ya jeshi matter of fact satellites za nchi nyingi duniani ni kwaajili ya mawasiliano.

Kenya Wana satellite sijui mbili nini kimetokea? Kati ya Kenya na Rwanda nani anaweza hata kuijaribu TZ?

Zimbabwe Wana satellite inewasaidia nini kama hata mlo mmoja kwa siku unawashinda?

Djibouti nao wapo in plans za kuwa na satellite nao mnawaogopa?

Mitanganyika mna inferiority complex Hadi aibu.
Umeongea kiroyo tuwa sana
 
Kenya Wana satellites zaidi ya Moja imeidhuru nini TZ?

Zimbabwe Wana satellite inewasaidia nini?

Mnajua satellite is basically minara ya mawasiliano tu unless mnaogopa hata minara ya mawasiliano.
Unafanya kazi kwenye idara zao za usalama?

Naona umekariri tu kwa ajili ya mawasiliano, kuna satellite kwa ajili ya ku "spy" mfano Kennan & Bigbird.
 
Sera mbovu za Ujamaa zimetukwamisha sana mpaka nchi ndogo kama Rwanda inatupita kimaendeleo.
Kwani hata huo ujamaa unafuatwa basi..yani mpka sasa hii nchi haieleweki sera zake...sio ujamaa..sio ubepari...tupo tupo tu

Ujamaa umebaki kwenye katiba ya nchi na chama..ila hata hao viongozi hawa u practice.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ngoja na sisi tumalize SGR kwanza,hivyo vitu vidogo sana,au umesahau kwamba sisi tuna radar ambayo east and central Africa yote hawana kama yetu...!
 
Hizo danadana za rwanda kupata publicity zisikusumbue. Nchi hiyo bado imo nyuma ila wanapenda ku put a show kuzuka kama wana mafanikio makubwa kimaendeleo. Hiyo kigali inang'aa ila toka nje utaona kwanza hawana mji zaidi ya kigali pia wala nchi haingari chochote.
Huo ndio ukweli Rwanda ni overrated sana na watu wasioijua ila bado sana kuilinganisha na Tanzania, tofauti na Kigali miji yake mingi iko nyuma sanaa
 
Hiyo satelaiti inapeleleza hadi chumbani kwako. Msibeze maendeleo hayo. Akitaka kukupiga au kumega sehemu ya nchi anakuwa amejua weakess zako anakufanya atakacho...
Tanzania hatuendelei kwa kutojali proffessionalism project yeyote ile lazima watu waingize kujuana na kutaka kupiga pesa.

Tunarudi nyuma tu badala ya kwenda mbele.
 
Chamsingi ni kuwana na RADAR zetu mikoa ya mipaka na nchi zisizoelwweka kama Kenya, Malawi na Rwanda.

Baada ya hapo kuwekeza kwenye silaha za kujilinda na kushambulia
Ulinzi wa nchi ni classified sana ndio maana hata bungeni kuna mipaka yake. Taifa kama Rwanda halijafikia uwezo wa kuwa threat kwa Tanzania.

Kuna silaha hazitakuja kuwa public mpaka kwenye uwanja wa medani watanzania sio wajinga wanajua rafiki wakweli na mkuda ni nani
 
Back
Top Bottom