Rwanda inarusha Satelaiti ya Kijeshi. Je, Tuko Salama?

🇷🇼 Imewekeza sana katika PR, pamoja na mabaya yetu kama taifa ila bado tuko vizuri. 🇷🇼 Haiwezi kuwa kwenye level moja na Tanzania kuanzia uchumia, sanaa, michezo, na ahueni ya kijamii hata hiyo political space tumewaacha mbali.
 
Kenya Wana satellites zaidi ya Moja imeidhuru nini TZ?

Zimbabwe Wana satellite inewasaidia nini?

Mnajua satellite is basically minara ya mawasiliano tu unless mnaogopa hata minara ya mawasiliano.
Hiyo satelaiti inapeleleza hadi chumbani kwako. Msibeze maendeleo hayo. Akitaka kukupiga au kumega sehemu ya nchi anakuwa amejua weakess zako anakufanya atakacho.

Huwezi kuendelea kwa kumchukia tajiri bali utaendelea kwa juhudi alizopitia yeye.

Tanzania ijikite kupata wataalam ili kwenda na wakati.

Itafika wakati Bahima empire itafufuliwa tu
 
Jiulize kwanza Ulimwengu anapata wapi nguvu ya kumtukana Nyerere na Mkapa? Anzia hapo kwanza!
 
Umeongea kiroyo tuwa sana
 
Kenya Wana satellites zaidi ya Moja imeidhuru nini TZ?

Zimbabwe Wana satellite inewasaidia nini?

Mnajua satellite is basically minara ya mawasiliano tu unless mnaogopa hata minara ya mawasiliano.
Unafanya kazi kwenye idara zao za usalama?

Naona umekariri tu kwa ajili ya mawasiliano, kuna satellite kwa ajili ya ku "spy" mfano Kennan & Bigbird.
 
Sera mbovu za Ujamaa zimetukwamisha sana mpaka nchi ndogo kama Rwanda inatupita kimaendeleo.
Kwani hata huo ujamaa unafuatwa basi..yani mpka sasa hii nchi haieleweki sera zake...sio ujamaa..sio ubepari...tupo tupo tu

Ujamaa umebaki kwenye katiba ya nchi na chama..ila hata hao viongozi hawa u practice.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ngoja na sisi tumalize SGR kwanza,hivyo vitu vidogo sana,au umesahau kwamba sisi tuna radar ambayo east and central Africa yote hawana kama yetu...!
 
Huo ndio ukweli Rwanda ni overrated sana na watu wasioijua ila bado sana kuilinganisha na Tanzania, tofauti na Kigali miji yake mingi iko nyuma sanaa
 
Hiyo satelaiti inapeleleza hadi chumbani kwako. Msibeze maendeleo hayo. Akitaka kukupiga au kumega sehemu ya nchi anakuwa amejua weakess zako anakufanya atakacho...
Tanzania hatuendelei kwa kutojali proffessionalism project yeyote ile lazima watu waingize kujuana na kutaka kupiga pesa.

Tunarudi nyuma tu badala ya kwenda mbele.
 
Chamsingi ni kuwana na RADAR zetu mikoa ya mipaka na nchi zisizoelwweka kama Kenya, Malawi na Rwanda.

Baada ya hapo kuwekeza kwenye silaha za kujilinda na kushambulia
Ulinzi wa nchi ni classified sana ndio maana hata bungeni kuna mipaka yake. Taifa kama Rwanda halijafikia uwezo wa kuwa threat kwa Tanzania.

Kuna silaha hazitakuja kuwa public mpaka kwenye uwanja wa medani watanzania sio wajinga wanajua rafiki wakweli na mkuda ni nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…