Rwanda inarusha Satelaiti ya Kijeshi. Je, Tuko Salama?

Kagame kama vile Mobutu na Wahuni Wengine Nature too will take control one day!! Atoishi Milele.Ipo Siku Rwanda itaamka na kukuta Mungu ameshafanya yake na Kazi ya Kalima haiingiliwi atakalo Mola....
Kwahio ameshindikana kung'olewa mpk wasubiri afe sio?
 
Hizi Technologies ni kama additional Stuffs wakati wa maankuli yaani kama pilipili, chumvi au chachandu azitomsaidia kuleta faida ya maana nchini kwake.Awezi mzidi Tanzania kwa lolote kwani Akuna kunachoingia Rwanda kwa bahari bila kupitia TZ
Ulidanganywa na Nani?Dude la C-130 siku hizi ndio linatumika kubebea zana zao, wanatumia la mshirika wao Jeshi la Qatar.Hata kupeleka vifaa vya kijeshi Mozambique kutokea Rwanda walitumia dude Hilo Hilo.Bandarini labda wapitishe zana za kawaida tu ambazo nchi zote tu zinajulikana kua nazo.
 
Viongozi wetu wangefanya kila jitihada kuyafanya haya wanayoyafanya Rwanda maana usalama wetu utakuwa mashakani hawa jirani zetu wakiwa na hii teknolojia
Hao Rwanda wanahatarisha usalama wetu, tuwafanyie kama Urusi alichofanya kwa Ukraine
 
Kagame ni Putin wa Africa ni mtu hatari sn
 
Rwanda ni shushushu wa mabeberu nahis atakuja kuharibu East Africa nadhani tunajua mipango ya hao West huyu ndo kibaraka wao. Naona kuanguka kwa EAC soon. Huyu dogo ameanza dharau anatakiwa ashughulikiwe mapema
Hatari sn
 
Rwanda hata wajibaraguze kivipi na mbwembwe zao hawatufikii hata nusu,hata Kenya walishasalimu amri kwetu.
 
Hamna kitu,kumbuka sisi siyo CONGO.
 

Unafanya kazi kwenye idara zao za usalama?

Naona umekariri tu kwa ajili ya mawasiliano, kuna satellite kwa ajili ya ku "spy" mfano Kennan & Bigbird.

Ni wapi wamesemea satellite ya RW ni military satellite?

FYI, ni nchi chache sana zenye military satellites, majority of them are just for communication purposes only. "As of December 2018 there are 320 known military or dual-use satellites in the sky, half of which are owned by the US, followed by Russia, China and India (13)." Hapo bado hujaona UK, Japan, SA, Italy, Canada nk.

"Communications satellites are used for television, telephone, radio, internet, and other applications. As of 1 January 2021, there are 2,224 communications satellites in Earth orbit."

Mmekaririshwa ujinga mkisikia satellite tu mnadhani ni mambo ya jeshi na usalama. Majority of the satellites are merely minara ya mawasiliano tu eti zinaona mbaka chumbani 🤣 🤣 na sisi tuache kujenga SGR na barabara ili tuone chumbani kwa Rwanda? Kati ya SGR na Satellite kipi gharama zaidi?

Kenya ina satellites zaidi ya moja ila kila siku inapigwa Somalia na kushambuliwa na magaidi, satellite zimewasaidia nini? Kama zinaona hadi chumbani mbona hawaoni mbinu za magaidi from West Gate mall to Garissa attack nk?

Ni vyema kuwekeza kwenye utaalam ila satellite sio kipaumbele. I'd rather have maji safi na salama kila kona, barababara nzuri, SGR, umeme wa uhakika kuliko kufuja pesa kuwa na satellite. Bongo ingefanya hivyo nyie ndo mngekua wa kwanza kuponda kwamba ni maendeleo ya vitu na sio watu ila since ni Rwanda tayari mmeloa it's called inferiority complex.
 
Sasa kama Kenya wanazo , kwanini tumuogope Rwanda? Labda kwa sababu Rwanda na Kenya wanazo, tufanye urafiki nao watatupa ujirani mwema.
 
Labda Kagame anataka kulishambulia Jeshi la Uhamiaji pale Kurasini itabidi tuwashauri wafunge Setellite Jammers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…