sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
1. Zote ni vinchi vidogo kieneo.
2. Watu wake wanajiona ni "special/superior" kuliko wengine.
3. Viongozi wao wote hawataki kutoka madarakani, madikteta uchwara.
4. Wote wana wazo la kujitanua kieneo zaidi mfano "Greater Israel"
5. Wote karata yao ya mwisho ni mauaji yaliotokea i.e Rwanda genocide and holocust
6. wote wanakiburi na kutaka "kumtia kidole" kila jirani anaezunguuka, akijina anaweza sana.
Cha kufanya
kwakua hasikii na analeta kiburi na dharau na kutangaza wako tayari kwa vita, haya yafanyike
1. Rwanda has to be kicked out of every regional organization including East Africa Community.
2. Rwanda is land locked, so all member of SADEC and EAC has to immediately closing the border with Rwanda. no in, no out through land.
3. A joint special force has to be formed, whatever it takes, company, battalion or division. they have to slay M23 terrorists.
4. Long term plan has to be formed for a long term goal and the stability of the region, Kagame must go because he is not compatible to Great lakes region values. Kagame wants to bring "middle east" in east Africa, he must not be allowed to do that.