a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 611
- 993
nafikiri hawa watusi wanajichukulia kama ni special sana na ni superior na powerful kuliko nchi nyingine,NA WANAAMINI WAO WALIUMBWA KWA AJILI YA KUTAWALA WENZAO kitu ambacho si sahihi.Tanzania haina majasusi waliojichimbia kwenye nchi majirani zake??