RUTAJUMBUKIRWA
Senior Member
- May 3, 2009
- 185
- 89
hivi wewe elimu yako ya vidudu? nguruvi3, jina linafanana na mawazo yako, usipost hapa, jf ni forum ya great thinkers si ya wenye hoja nyepesi kama makuri
Watanzania lazima wawe makini sana na hawa Wanyarwanda.
Sioni sababu ya kushabikia kila kitu wanachokitupa mtandaoni.
Suala kama la elimu haliwahusu wao kulizungumzia.
Wanatakiwa waongelee Utusi unavyowamaliza wahutu kwasababu hilo ni tatizo lao.
Kagame amekiri kuwa hataki vikosi vya SADC kule Congo ili aendelee kufanya mauaji na uhuni.
Mkumbuke kuwa Kagame amezaliwa kati kati ya milio ya risasi na hivyo harufu ya damu ya mwanadamu kwakwe ni kama chocolate au Coffee.
Anachokifanya hapa ni kutafuta kitu cha kuwachonganisha Watanzania ili waondoe focus katika DRC na yeye aweze kuendeleza utusi na umumiyani.
Narudia, Kagame hakuzaliwa hospitali amezaliwa kati kati ya risasi hivyo sauti anayoijua zaidi ni risasi na harufu anayoijua ni damu.
Watanzani mkianza ku-entertain hoja za hawa watu ,watatafuta kitu ambacho kinaweza kuwachonganisha watanzania wenyewe. Wanachotaka ni kuhakikisha kuwa Tanzania inakuwa katika vurugu kama za DRC ili Kagame aendeleze kiu yake ya mauaji dhidi ya Wahutu.
Jihadharini sana na habari kutoka Rwanda. Elimu si tatizo lao, na kama ni ushauri mbona wao hawataki kusikia ushauri wa kuzngumza na FDL. Mnyarwanda hawezi kushauri kuhusu elimu wakati ambapo hataki kushauriwa kuhusu amani.
Soma hapa chini uone Kagame anavyohangaika hovyo! na bado SADC itakamlia koo ataachia tu.
http://www.dailynews.co.tz/index.ph...asks-us-for-inclusion-in-dr-congo-peace-talks
cc JokaKuu Jasusi EMT