Tetesi: Rwanda inaweza kupewa AFCON na Tanzania ikasitishwa ndio maana nguvu imepungua

Chama kikuu cha upinzani kilitaka kwanza reforms ambazo by default zingewang'oa CCM madarakani
 
Maandalizi yapi?
Michuano iliyowahi kuandaliwa nchi choka mbaya kama Gabon, Equatorial Guinea, Cameron, code voire na Burkina Faso
Ije ishindwe kuandaliwa na East African Pamoja bid!
Mnapenda kuyakuza tu hayo mashindano.
 
Tayari mmeshalipa ada za kuwa waandaaji,billions of money hata msipokamilisha ujenzi wa viwanja ni muda wa michuano ndiyo utasogezwa mbele.

It's business!!
 
Maandalizi yapi?
Michuano iliyowahi kuandaliwa nchi choka mbaya kama Gabon, Equatorial Guinea, Cameron, code voire na Burkina Faso
Ije ishindwe kuandaliwa na East African Pamoja bid!
Mnapenda kuyakuza tu hayo mashindano.
hizo nchi ulizozitaja ziko mbele kisoka na zina viwanja vingi. Hebu angalia bongo ina uwanja mmoja tu wa mkapa, nako mara ufungiwe, mara ukarabatiwe! Nchi ingetakiwa iwe na viwanja angalau vitano vilivyo tayari kwa michuano ya kimataifa kama ya CAF na FIFA. We huoni ni kituko nchi kukurupuka kujenga viwanja bada ya kupewa uenyeji wa kuandaa mashindano, muda wenyewe ni mfupi, viwanja vingapi vitakamilika kama si kimoja tu cha Arusha?
 
Maandalizi yapi?
Michuano iliyowahi kuandaliwa nchi choka mbaya kama Gabon, Equatorial Guinea, Cameron, code voire na Burkina Faso
Ije ishindwe kuandaliwa na East African Pamoja bid!
Mnapenda kuyakuza tu hayo mashindano.
Tatizo lenu watu ni wagumu sana kuelewa, sio kwamba Tanzania inashindwa kuandaa kwa sababu za kiuchumi, suala ni kwamba toka yale mauaji yaliotokea mwaka jana na matishio ya mara kwa mara ya maandamano inaifanya Tanzania isiwe nchi salama kuandaa mashindano makubwa kama hayo.
 
Ni kama pigo ila naona nguvu za kuchezea pesa zinatumika kujisafisha.

Kwa haya yaliyopo tanzania kama mambo yataendelea basi Rwanda kashasoma mchezo.
Nchi masikini masikini zisizoweza kujitosheleza bajeti vizuri, zisizo na rekodi nzuri ya demokrasia, zisiruhusiwe kuandaa mashindano makubwa ya kimataifa ya michezo.

Hazina ukwasi, hazina uwezo wa kujipanga kutimiza matakwa ya mashindano hayo bila ya kuwanyima watu masikini huduma muhimu za kijamii.

Watu hawana vyoo, hawana madarasa, hawana zahanati, bado wanaumwa kipindupindu, maana yake wanakunywa maji yenye mavi bado, mnataka kufanya anasa za kuandaa mashindano ya kimataifa ya michezo?
 
Mkuu,

Hata kiuchumi nchi ambazo hazijamaliza mambo mengi sana ya msingi kuandaa mashindano ya kimataifa ya michezo ni ujinga tu.

Hayo mashindano huwa yanapoteza pesa tu na nchi hizi hazina sababu ya ku host ujinga huu. Tena kwa kuwanyima watu masikini huduma nyingi za kijamii ili kuweza kufanya siasa za circuses without bread.
 
Akuna kitu kama icho labda kama ni kenya au unganda naweza kukubali ila kwa Tanzania hapana maana Tanzania ndo nchi pekee kwa ukanda wetu yenye viwanja vilivyo kidhi masharti na pia tuna viwanja vingi so inawapa wigo mkubwa AFCON kunyama badariko yyte endapo yatajitokeza

Mfano kuna tatizo uwanja wa mkapa afcon wanaweza badiri kiwanja bira shida ila kenya na uganda wana viwanja vichache san
 
Kama CHAUMMA au sio?
Chauma haukua upinzani!upinzani uliomtoa patrobas katambi akawa waziri taasisi nyeti mnashindwaje kupata wabunge wengi humo!!?

Yaani kama katambi anakua waziri nyeti mnashindwaje kupata wabunge ndani ya chadema ambao wangesaidia spinning!!
 
NO REFORMS,NO ELECTION. Mkuu nothing in life stays the same 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…