Tetesi: Rwanda inaweza kupewa AFCON na Tanzania ikasitishwa ndio maana nguvu imepungua

Tetesi: Rwanda inaweza kupewa AFCON na Tanzania ikasitishwa ndio maana nguvu imepungua

NO REFORMS,NO ELECTION. Mkuu nothing in life stays the same 😀
No reforms no election haukua mpango KAZI wa chadema Bali CCM mlengo wa kushoto wakishirikiana na mataifa makubwa ili kuleta vurugu ambazo ilibidi nguvu kubwa kutumika hapo October 29!!Ndio maana Thabit kombo alisema vurugu zilianzia nje kuja ndani!!

Lakini Mama amejitahidi kuhepa mtego wa ICC Hadi sasa coz katafuta uungwaji mkono kwa mataifa pinzani na hao!!
Japokuwa serikali yake imepoteza mvuto coz Hana upinzani ndani ya bunge kunogesha awamu yake!!!Serikali ya bunge la chama kimoja Haina tija coz mnashindwa ku spin vizuri matukio zaidi sana mnaanza kulana wenyewe ndani ya chama!
 
Kizazi kipi hicho cha kukifanyia spinning mkuu?.
 
Afcon itafanyika Tanzania Kenya na Uganda Rwanda wataomba wakati mwingine kwa nafasi Yao kwa Sasa watulie
Hawa jamaa hawana tofauti na wanga wa uchuro!..(dua zao hazijawahi kuomba mema) watashindwa tu.
Lakuzingatia (katiba mpya fixture) iwe on board,ili isomwe vizuri kwa kina kabla bunge la october 2028 kuipitisha/

Mikutano ya kisiasa izuiwe!*

*Lissu aachiwe,

*Mchakato katiba uanze bila kutumia gharama kubwa zisizo na msingi wowote,

*Siamini kama yote ni ya kubadilisha hapana vifungu fulani vya msingi viingizwe na baadhi vifutwe!

*By may 2027, katiba iwe mezani kusubiri approval ya bunge 2028.

#Intelegency tell me to do so!...
 
Akuna kitu kama icho labda kama ni kenya au unganda naweza kukubali ila kwa Tanzania hapana maana Tanzania ndo nchi pekee kwa ukanda wetu yenye viwanja vilivyo kidhi masharti na pia tuna viwanja vingi so inawapa wigo mkubwa AFCON kunyama badariko yyte endapo yatajitokeza

Mfano kuna tatizo uwanja wa mkapa afcon wanaweza badiri kiwanja bira shida ila kenya na uganda wana viwanja vichache san
Hizi ni porojo tu, tofauti na huo uwanja wa Mkapa hakuna uwanja mwingine Tanzania wenye hadhi ya kimataifa, vilivyobaki ni majaluba ya mpunga tu.
 
Kizazi kipi hicho cha kukifanyia spinning mkuu?.
Kikwete aliwezaje!!?
Hayati magufuli ndio muasisi wa siasa zisizotumia akili zaidi ya mkono wa chuma!

Leo risasi na kipotea ndio umekua mbadala wa siasa za kistaarabu na tumeua taifa letu na sasa tumekua vituko huko majuu!!

Hawa Gen z ni rahisi sana kuwa spin rahisi sana!

Tumia mfumo mpya wa ajira za mikataba,tengeneza bunge active lenye upinzani active wa kimfumo!

Wajibisha wanasiasa wezi hata kwa kesi za kimahakama liposha faini funga,filisi n.k

Wanasiasa walipe Kodi lazima watende wanachokihubiri kwenye majukwaa!!

Uone kama gen z wataleta kelele!!

Tunataka siasa tendaji zenye meno sio siasa za wapiga domo tu hata Kodi hawalipi halafu wanapiga makelele tu bila uwajibikaji!!
 
Ni kama pigo ila naona nguvu za kuchezea pesa zinatumika kujisafisha.

Kwa haya yaliyopo tanzania kama mambo yataendelea basi Rwanda kashasoma mchezo.
Rwanda haina viwanja,hata kama Tanzania itanyang'anywa,kitu ambacho hakitatokea,haiwezi kupewa rwanda.Ama kuhusu viwanja Tanzania,wanaelekea kumaliza kujenga viwanja vyake
 
Kikwete aliwezaje!!?
Hayati magufuli ndio muasisi wa siasa zisizotumia akili zaidi ya mkono wa chuma!

Leo risasi na kipotea ndio umekua mbadala wa siasa za kistaarabu na tumeua taifa letu na sasa tumekua vituko huko majuu!!

Hawa Gen z ni rahisi sana kuwa spin rahisi sana!

Tumia mfumo mpya wa ajira za mikataba,tengeneza bunge active lenye upinzani active wa kimfumo!

Wajibisha wanasiasa wezi hata kwa kesi za kimahakama liposha faini funga,filisi n.k

Wanasiasa walipe Kodi lazima watende wanachokihubiri kwenye majukwaa!!

Uone kama gen z wataleta kelele!!

Tunataka siasa tendaji zenye meno sio siasa za wapiga domo tu hata Kodi hawalipi halafu wanapiga makelele tu bila uwajibikaji!!
Kikwete?. Katiba mpya ilifeli kipindi cha nani?. Kwa huo umahiri wake wa kufanya spinning hebu niambie 2005 alishinda kwa kiasi gani na 2010 alishinda kwa kiasi gani?.

Magufuli aliiona hali halisi ya kisiasa hususani kupitia matokeo ya uchaguzi ya 2015 ndio maana 2019 na 2020 akaona aukwapue uchaguzi wenyewe (hii ndio ilikuwa njia pekee ya yeye kubaki madarakani vinginevyo angeng'oka!). Propaganda zake za kupumbaza wananchi kwamba yeye ni Rais wa wanyonge zilifeli kwa kiasi kikubwa. Uhalisia wa maisha ya hao wanyonge wenyewe ulimkataa licha ya ukali wake dhidi ya 'ufisadi'(ingawa ana kesi ya kujibu kuhusu CAG-Profesa Assad).

Magufuli aliposema tu kwamba Katiba mpya sio kipaumbele chake,mtu kama mimi pale pale nilimuona kwamba nae ndio wale wale tu. Sio mzalendo kama tulivyoaminishwa!

Kwa maoni yangu,kipimo cha uzalendo wa kweli wa kiongozi wa kisiasa ni nia yake ya dhati ya kushughulikia mzizi wa matatizo nchini na sio kupumbaza wananchi kwa kujifanya anakata matawi.

Katiba ambayo inampa Rais umungu mtu wa kufanya chochote anachotaka na akishafanya hashtakiwi akitoka madarakani ya kazi gani hiyo?

Mkuu,CCM wamshukuru sana Mbowe. Huyu amewasaidia sana kuchelewesha mabadiliko halisi nchini kupitia spinning ya maridhiano. Cheki mtiti wa Lissu na Heche!

Mkuu,hebu toa mbinu hata moja tu ya kuspin suala la Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi. Yaani hiyo mbinu iwapumbaze watanzania wengi waone hakuna haja ya kuwa na Katiba mpya wala Tume huru ya uchaguzi.

Wakati huo huo usisahau kwamba kwa muda mrefu, CCM kiliwekeza sana kwenye UJINGA na UFUKARA kwenye maisha ya watu vikiwa kama mtaji wake muhimu wa kuendelea kubaki madarakani. Tafsiri yake ni kwamba kadiri UJINGA au UFUKARA unavyopungua ndivyo CCM inakuwa hatarini zaidi kutoka madarakani.

Kwa sababu wananchi wanazidi kufunguka akili,imefikia hatua kila ambacho CCM watafanya kitakuwa kinaharakisha ANGUKO lao.Fanya maendeleo,unang'oka, usifanye maendeleo unang'oka vile vile!. Imarisha demokrasia unang'oka,zorotesha demokrasia unang'oka!

Karibu kwa Mawazo kinzani. Nipo tayari kukosolewa!
 
Huyu mama asilaumiwe; wa kulaumu ni Mkapa aliyeruhusu huu mfumo wa sasa hivi. Magufuli alitaka kuuvunja, akavunjika yeye mwenyew!
 
Itatangazwa maandamano moja bab-kubwa make tumeshaamua kuzuia maandamano kwa mtutu wa Bunduki.
 
Mfumo wa Nyerere Mwinyi Kikwete ulikuwa vipi
Nyerere na Mwinyi hawakuwa na mfumo wa mtandao. In fact Nyerere alikuta nchi haina wataalamu kabisa akaanza kujenga pole pole bila kuwa na mtandao wowote. Tamaa ya madaraka wakati wa Nyerere haikuwapo kabisa. Mwinyi alirithi sehemu kubwa sana ya mfumo wa Nyerere ingawa wakati wake tamaa za madaraka kwa viongozi wa kiislamu zilianza kujitokeza lakini alizibana sana. Mkapa alithibiti tamaa za madaraka ingawa alishindwa kudhibiti tamaa za mali kwa rushwa. Kikwete akaruhuru tamaa za madaraka kwa mtandao, na tamaa za mali kwa rushwa! Huo ndio mfumo tulio nao leo tena.
 
Back
Top Bottom