Rwanda isimamishwe uwanachama wa EAC kwa kuivamia DRC

Rwanda wanadai DRC wanawarushia makombora na huo ni uchokozi wa wazi.
Sio kweli, baada ya Rwanda kujifungia ndani kuogopa COVID-19 na kutafuta sifa kutoka kwa wazungu uchumi wake umeanguka sana, Sasa wanatafuta nani wa kumuibia. DRC ndio shamba la bibi lake. Inashangaza sana nchi kubwa kama DRC kusumbulliwa na ka inchi kadogo kama Rwanda. Kwanini EAC haichukui hatua kuiadabisha Rwanda kwa tabia yake hii? Kwanini DRC inashindwa kuikaribisha Russia kwenye uchumi wake ili ipate protection?
Kusema ukweli uhusiano kati ya Nchi za Magharibi na Africa ni wa kati ya mwerevu na mjinga, mtwana na mtumwa, lakini uhusiano kati ya Urusi/China na Africa ni wa kati ya tajiri na maskini TU baaasi.
 
Tanzania wakati wa Jakaya Kikwete haikukubali uonevu na uchokozi wa Rwanda kupitia kwa M23… Majeshi yetu yalifanya kazi ya ukombozi iliyowahi kufanya Msumbiji tuliingia Kongo tukawasafisha M23 japo kwa Bahati Mbaya sana Wanasiasa wakubwa wa Upinzani wa wakati huo pamoja na wafuasi wao walikuwa upande wa Paul Kagame dhidi ya Nchi yao pendwa Tanzania

JK Nyerere aliingiza Majeshi Msumbiji kuwatetea watu wa Msumbiji

JK wa Msoga akaingiza Majeshi Congo kusaidia ndugu zetu wa Congo

sasa hivi 'JK' wa Makunduchi atasaidia au atawapotezea ? limebaki swali gumu
Hakuna ubishi kuwa Rwanda imaisumbua DRC na kuiba Mali zake
 
JK alishauri kagame akae na mahasimu wake kwny meza ya maridhiano..kimjamaa (kagame) kilichachamaa sana kuambiwa hivyo..kuna siku Alitoa kauli ya kejeli kwa JK Kwamba; laiti angekuwa karibu, wkt JK anashauri vile, angemnasa kofi! JK akaona huyu hanijui..
 
Tanzania wakati wa Jakaya Kikwete haikukubali uonevu na uchokozi wa Rwanda kupitia kwa M23… Majeshi yetu yalifanya kazi ya ukombozi iliyowahi kufanya Msumbiji tuliingia Kongo tukawasafisha M23 japo kwa Bahati Mbaya sana Wanasiasa wakubwa wa Upinzani wa wakati huo pamoja na wafuasi wao walikuwa upande wa Paul Kagame dhidi ya Nchi yao pendwa Tanzania

JK Nyerere aliingiza Majeshi Msumbiji kuwatetea watu wa Msumbiji

JK wa Msoga akaingiza Majeshi Congo kusaidia ndugu zetu wa Congo

sasa hivi 'JK' wa Makunduchi atasaidia au atawapotezea ? limebaki swali gumu
Kagame alimkasirikia JK kinoma kwa kuwasambaratisha M23. Hicho ndio chanzo Cha JK kuonyesha silaha za kivita za Tanzania na makomandoo wetu kwenye sherehe zetu za Uhuru na muungano.

Russia imeonyesha kuwa Ina silaha Kali na zakisasa kabisa duniani. Kila taifa makini halitaki tena silaha za Marekani. Inafahamika kuwa kagame ana silaha za kimarekani, DRC ifanye urafiki na Russia kama kweli wanakerwa na vitendo vya Rwanda. Hata Marekani Sasa hivi hajui namna atakavyozipata silaha za Russia. Maana silaha zake zimeshindwa kabisa na za Urusi vkule Afghanistan, Syria, Yemen, na Sasa Ukraine.
 
Wewe unaleta ushabiki sasa
 
Mkongoman kazidi ujinga kwa nini asiwalete hata mercenaries wasaidie kuilinda dhidi ya wanajeshi wenye pua ndefu toka Rwanda
 
Kupata kichekesho hiki bonyeza *146*67#
 
Mkongoman kazidi ujinga kwa nini asiwalete hata mercenaries wasaidie kuilinda dhidi ya wanajeshi wenye pua ndefu toka Rwanda
Jeshi la Kongo lazima livunjwe na kuanza upya. Wanajeshi wengi wanasaidiana na waasi katika mapigano au kwa kuwauzia silaha.
 
Back
Top Bottom