Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Drc ni sawa na kubwa jinga, acha tu Rwanda ajichotee madini.Hakuna ubishi kuwa Rwanda inaisumbua DRC na kuiba Mali zake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Drc ni sawa na kubwa jinga, acha tu Rwanda ajichotee madini.Hakuna ubishi kuwa Rwanda inaisumbua DRC na kuiba Mali zake.
Unasema rwanda kwa kigezo kipi? Eastern congo wanaongea kinyarwanda wapo watusi na wahutu,tatizo wakati wote M23 ikianzisha mapambano watu hufikiria rwanda kwasababu haojamaa wanaongea kinyarwanda,M23 ni wakongomani na bunduki wanauziwa na hao corrupted Generals wa DRC.Hakuna ubishi kuwa Rwanda inaisumbua DRC na kuiba Mali zake.
Rwanda amepenyeza wanajeshi wengi ndani ya jeshi la kongo, Tena wale wa vyeo vya juu kabisa..vilevile jeshi la kongo limegawanyika katika misingi ya ukabila na ukandaJeshi la Kongo lazima livunjwe na kuanza upya. Wanajeshi wengi wanasaidiana na waasi katika mapigano au kwa kuwauzia silaha.
Congo hawawezi vita,itakua vizuri wakae chini waelewane na wakongomani wenzao,lakini wakikalia kufikilia vita wata maliza miaka na miaka bila kushinda hiyo vita,hata walete majeshi ya wapi watakua wikitoweka na kurudi.Jeshi la Kongo lazima livunjwe na kuanza upya. Wanajeshi wengi wanasaidiana na waasi katika mapigano au kwa kuwauzia silaha.
ahahhaha...wale ma officer sio wanyarwanda ni wakongo mani ila wanaongea kinyarwanda,tatizo ni ukabila ulio tawala congo na kujisahaulisha history ya eastern congo.Rwanda amepenyeza wanajeshi wengi ndani ya jeshi la kongo, Tena wale wa vyeo vya juu kabisa..vilevile jeshi la kongo limegawanyika katika misingi ya ukabila na ukanda
Huwezi mshinda mtu anae pambania haki yake,pale ni kwao na hatatoka mtu,zitapigwa hadi wajukuu na vitukuu.Mkongoman kazidi ujinga kwa nini asiwalete hata mercenaries wasaidie kuilinda dhidi ya wanajeshi wenye pua ndefu toka Rwanda
Rwanda amepenyeza wanajeshi wengi ndani ya jeshi la kongo, Tena wale wa vyeo vya juu kabisa..vilevile jeshi la kongo limegawanyika katika misingi ya ukabila na ukanda
Rwanda hawahitaji madini ya congo ili itajilike,ingekua madini ya kongo ndio yametajilisha rwanda basi congo ndio ingekua ya kwanza kutajirika kwani ni wao wanaoyauza,kutajilika kwa rwanda kunatokana na vichwa vyao,ni watu wanao fikilia out of box tu hiyo ndio siri ya maendeleo ya rwanda.Habari ya Rwanda na DRC haihitaji narrative stories, kila mtu ndani na nje ya Africa mashariki anafahamu kuwa utajiri wa Rwanda unatoka DRC, inafahamika kuwa kagame ni sehemu ya shida za eastern Congo ambako maelfu wanakufa kama Kuku. Tusubiri wafe wangapi ndio tufanye nini kwa kagame?
Hata Marekanj inajua Rwanda anawaibia DRC sio siri tena.. isipokuwa kwasababu Kagame kajipendekeza ndo maana unaona Mmarekani hasemi kitu..Huo ni uongo,rwanda uchumi uko vizuri tu,vita ya M23 na DRC ni ya wakongomani wenyewe,M23 kuongea kinyarwanda haimaanishi ni wanyarwanda au rwanda.
nafikiri wa kuimamishwa wawe congo, linchi likubwa, lina watu wengi, lina madini kibao, halafu linasumbuliwa kanchi kasiko hata na madini kama rwanda. mtu mzembe kama huyo east africa community anakuja kufanya nini? just imagine.Hakuna ubishi kuwa Rwanda inaisumbua DRC na kuiba Mali zake.
Upo sahii kabisa, ila Kuna nadharia Moja inasemakana kuwa Hawa wanyarwanda wakongo wanaitaka eastern Congo kama autonomous region under Tutsi bloodlines![]()
Kabla ya kukatwa kwa mipaka na wakoloni rwanda ilikua kubwa sana,ili fika estern congo,uganda kama inavyo onekana katika hii map,kwahiyo baada ya kukata mipaka wanyarwanda walibaki upande wa congo na wengine upande wa uganda,cha ajabu wanyarwanda wa uganda hawana tatizo wanaheshimiwa kama waganda,lakini congo hawawaheshimu watu wanaongea kinyarwanda wakati wote wanawaita wanyarwanda,sasa nikosa lao kujikuta upande wa congo?nafikiri wakati umefika wakongomani wawatambue hao rwandaphone kama wakongomani wenzao bila hivyo hiyo vita haitaisha itaendelea miaka nenda rudi.
Nimeipendaahahhaha...wale ma officer sio wanyarwanda ni wakongo mani ila wanaongea kinyarwanda,tatizo ni ukabila ulio tawala congo na kujisahaulisha history ya eastern congo.
Yani ukitaka ukweli kabisa wa mambo ni kwamba hawa banyamulenge wanatafuta namna ya kujitenga na kuwa nchi huru upande ule wa Mashariki. Hii inaungwa mkono na Kigali kama na ku off load watu kutoka Rwanda kwenda eneo lililojitenga ndani ya DRC. Isitoshe eneo hili walioko banyabulenge ina utajiri mkubwa wa madini na ardhi ya kilimo yenye rutuba. Kwahiyo hii ni kama yale majimbo ya Ukraine yenye watu wengi wanaozungumza Kirusi (Donbass) yanavyotaka kujitenga kutoka ukraine na kusaidiwa na Urusi kutimiza azima yao hiyo. Rwanda haikosekani kwenye mzozo huu. Ikumbukwe kuwa hawa Watusi walikuwa ni kabila ambalo tangu zamani lilikuwa na nguvu sana za kiutawala na kiuchumi hata kabla ya wakoloni kufika kule, hivyo wakoloni walilazimika kulimega lile kabila kwa kutengeneza mipaka ambayo itawaacha watusi na wahutu kwenye nchi mbalimbali kama Burundi, Congo na tanzania ili kupunguza nguvu zao. Hii ndio iliyosababisha Rwanda na Burundi kuwa vinchi vidogo na makabila ya watusi na wahutu kupatikana Rwanda, Burundi, Eastern Congo na tanzania,Congo hawawezi vita,itakua vizuri wakae chini waelewane na wakongomani wenzao,lakini wakikalia kufikilia vita wata maliza miaka na miaka bila kushinda hiyo vita,hata walete majeshi ya wapi watakua wikitoweka na kurudi.
pale eastern congo ni kwao ni haki yao kuishi pale.
sio kweli,tatizo ni kwamba ile ideology ya kuwaua wa tutsi iliingia congo baada ya wakimbizi wa kihutu kuingia congo na kuwafundisha wahutu wa congo pamoja na makabila mengine ya congo kuwachukia watutsi na kuanza kuwaua na kuwanyang'anya mali zao na kugeuka wakimbizi ndani ya rwanda na uganda,wanachofanya ni kudai haki yao ambayo wamenyanganywa,na kibaya zaidi wakongomani wa kitusi wanaitwa wanyarwanda sio wacongomani.Upo sahii kabisa, ila Kuna nadharia Moja inasemakana kuwa Hawa wanyarwanda wakongo wanaitaka eastern Congo kama autonomous region under Tutsi bloodlines
Vip unawafahamu banyamulenge?sio kweli,tatizo ni kwamba ile ideology ya kuwaua wa tutsi iliingia congo baada ya wakimbizi wa kihutu kuingia congo na kuwafundisha wahutu wa congo pamoja na makabila mengine ya congo kuwachukia watutsi na kuanza kuwaua na kuwanyang'anya mali zao na kugeuka wakimbizi ndani ya rwanda na uganda,wanachofanya ni kudai haki yao ambayo wamenyanganywa,na kibaya zaidi wakongomani wa kitusi wanaitwa wanyarwanda sio wacongomani.
Huu ndiyo ukweli unaofichwaYani ukitaka ukweli kabisa wa mambo ni kwamba hawa banyamulenge wanatafuta namna ya kujitenga na kuwa nchi huru upande ule wa Mashariki. Hii inaungwa mkono na Kigali kama na ku off load watu kutoka Rwanda kwenda eneo lililojitenga ndani ya DRC. Isitoshe eneo hili walioko banyabulenge ina utajiri mkubwa wa madini na ardhi ya kilimo yenye rutuba. Kwahiyo hii ni kama yale majimbo ya Ukraine yenye watu wengi wanaozungumza Kirusi (Donbass) yanavyotaka kujitenga kutoka ukraine na kusaidiwa na Urusi kutimiza azima yao hiyo. Rwanda haikosekani kwenye mzozo huu. Ikumbukwe kuwa hawa Watusi walikuwa ni kabila ambalo tangu zamani lilikuwa na nguvu sana za kiutawala na kiuchumi hata kabla ya wakoloni kufika kule, hivyo wakoloni walilazimika kulimega lile kabila kwa kutengeneza mipaka ambayo itawaacha watusi na wahutu kwenye nchi mbalimbali kama Burundi, Congo na tanzania ili kupunguza nguvu zao. Hii ndio iliyosababisha Rwanda na Burundi kuwa vinchi vidogo na makabila ya watusi na wahutu kupatikana Rwanda, Burundi, Eastern Congo na tanzania,
kiboko ya kagame ni mzee wa msoga!Hakuna ubishi kuwa Rwanda inaisumbua DRC na kuiba Mali zake.
Ki yukureni yukureni hahahaaAu tuifumue tu...