Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,265
- 4,735
Nikmekuja nduki nikidhani umetiririka vua kutosha, any way, nitarudi baadaeHakuna ubishi kuwa Rwanda imaisumbua DRC na kuiba Mali zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikmekuja nduki nikidhani umetiririka vua kutosha, any way, nitarudi baadaeHakuna ubishi kuwa Rwanda imaisumbua DRC na kuiba Mali zake
Kenya, Uganda na Tanzania lazima ziwe na kura ya turufu (veto) kwenye umoja huu, na nchi hizi tatu lazima ziwe kinara kwa siasa safi na uongozi Bora ndani ya jumuiya ili wengine waige. Ni aibu kubwa kusikia kwenye nchi hizi watu wanaiba kura, wananunua watu au kuzuia demokrasia isifanyike na uhuru wa sheria unaingiliwa.Tuanze na vikwazo then tuwatumie silaha wakongoman
Habari ya Rwanda na DRC haihitaji narrative stories, kila mtu ndani na nje ya Africa mashariki anafahamu kuwa utajiri wa Rwanda unatoka DRC, inafahamika kuwa kagame ni sehemu ya shida za eastern Congo ambako maelfu wanakufa kama Kuku. Tusubiri wafe wangapi ndio tufanye nini kwa kagame?Nikmekuja nduki nikidhani umetiririka vua kutosha, any way, nitarudi baadae
Nchi ikiwa na mafisadi jeshini unafikiri inaweza chochoteSio kweli, baada ya Rwanda kujifungia ndani kuogopa COVID-19 na kutafuta sifa kutoka kwa wazungu uchumi wake umeanguka sana, Sasa wanatafuta nani wa kumuibia. DRC ndio shamba la bibi lake. Inashangaza sana nchi kubwa kama DRC kusumbulliwa na ka inchi kadogo kama Rwanda. Kwanini EAC haichukui hatua kuiadabisha Rwanda kwa tabia yake hii? Kwanini DRC inashindwa kuikaribisha Russia kwenye uchumi wake ili ipate protection?
Kusema ukweli uhusiano kati ya Nchi za Magharibi na Africa ni wa kati ya mwerevu na mjinga, mtwana na mtumwa, lakini uhusiano kati ya Urusi/China na Africa ni wa kati ya tajiri na maskini TU baaasi.
Yanayoendelea kwenye jeshi la Congo hata Che Guevara mwenyewe yalimshinda akaondoka zake na kudai kua banajeshi ba Congo habako tayari kupigania ukombozi ba taifa lao.Hawa wacongoman nao wamekaa laini laini sana,eti kila mtu mwanamuziki,vita mpaka siye tukawasaidie.
Peleka wote jeshini wakapiganie nchi yao kazi kukoboa sura tu.
Tanzania hii hii ambayo kuna wabunge 19 Bungeni wasiokuwa na Chama[emoji1][emoji1][emoji1]Kenya, Uganda na Tanzania lazima ziwe na kura ya turufu (veto) kwenye umoja huu, na nchi hizi tatu lazima ziwe kinara kwa siasa safi na uongozi Bora ndani ya jumuiya ili wengine waige. Ni aibu kubwa kusikia kwenye nchi hizi watu wanaiba kura, wananunua watu au kuzuia demokrasia isifanyike na uhuru wa sheria unaingiliwa.
Kanda yetu isikae kimya kusubiri wazungu waje watufanyie. Wakimbizi wa congo na Burundi hawaishi milele kwanini? As if we do not know the source of the problem. Tunahitaji kutajirika sote kwa kutumia rasilimali zetu tulizonazo EAC, sio nchi moja tu inayotaka utajiri wa harakaharaka kwa kisingizio bandia cha genocide ambacho yeye ndie aliyetaga mayai ya vita ile. Ni mpumbavy gani hapa EAC hajui kuwa chanzo cha genocide ile ni jamaa huyuhuyu anaejifanya anasaka milele waasi huko DRC?Poleni sana wana wa Congo
Nalog off Z
Ni hatari sana kuwatumia hao mercenaries sio waaminifu na huwa hawamalizi tatizo.Mkongoman kazidi ujinga kwa nini asiwalete hata mercenaries wasaidie kuilinda dhidi ya wanajeshi wenye pua ndefu toka Rwanda
Kanali mzima anakunywa pombe analewa anachukua bunduki anamiminia wasio na hatia(raia) na yeye anajiua DRC kweli kiboko mwanamapinduzi cheq alipashindwa starehe Sana ndomana kagame anawawezaHawa wacongoman nao wamekaa laini laini sana,eti kila mtu mwanamuziki,vita mpaka siye tukawasaidie.
Peleka wote jeshini wakapiganie nchi yao kazi kukoboa sura tu.
Yaani ufumbuzi wa mgogoro niNi hatari sana kuwatumia hao mercenaries sio waaminifu na huwa hawamalizi tatizo.
Ukisoma " Art of War" ya Tsu zu utaelewa vzr.
Zikumbukwe pia Mzee mu7 anamiliki ma ADF- NARU. Haiwezekani uasi serekali ya Uganda alafu Vita vyako uvipiganie Congo. Kwa yanayotokea Kongo ni kielelezo cha incompetence ya African's leadership.Tanzania hii hii ambayo kuna wabunge 19 Bungeni wasiokuwa na Chama[emoji1][emoji1][emoji1]
kwahiyo Rwanda na Uganda wametengeneza waasi bandia ambao wote wanakimbilia DRC maeneo yenye mbao na madini,Zikumbukwe pia Mzee mu7 anamiliki ma ADF- NARU. Haiwezekani uasi serekali ya Uganda alafu Vita vyako uvipiganie Congo. Kwa yanayotokea Kongo ni kielelezo cha incompetence ya African's leadership.
Naam, uzembe/udhaifu wa Congo umesababisha majirani zake wahuni( kagame na mseveni) wapageuze zaidi ya shamba lao.kwahiyo Rwanda na Uganda wametengeneza waasi bandia ambao wote wanakimbilia DRC maeneo yenye mbao na madini,
Wakongo ni wapuuziHakuna ubishi kuwa Rwanda inaisumbua DRC na kuiba Mali zake.
Wanawauzia silaha na location za kutandika in terms of usd noma sanaJeshi la Kongo lazima livunjwe na kuanza upya. Wanajeshi wengi wanasaidiana na waasi katika mapigano au kwa kuwauzia silaha.
Huo ni uongo,rwanda uchumi uko vizuri tu,vita ya M23 na DRC ni ya wakongomani wenyewe,M23 kuongea kinyarwanda haimaanishi ni wanyarwanda au rwanda.Sio kweli, baada ya Rwanda kujifungia ndani kuogopa COVID-19 na kutafuta sifa kutoka kwa wazungu uchumi wake umeanguka sana, Sasa wanatafuta nani wa kumuibia. DRC ndio shamba la bibi lake. Inashangaza sana nchi kubwa kama DRC kusumbulliwa na ka inchi kadogo kama Rwanda. Kwanini EAC haichukui hatua kuiadabisha Rwanda kwa tabia yake hii? Kwanini DRC inashindwa kuikaribisha Russia kwenye uchumi wake ili ipate protection?
Kusema ukweli uhusiano kati ya Nchi za Magharibi na Africa ni wa kati ya mwerevu na mjinga, mtwana na mtumwa, lakini uhusiano kati ya Urusi/China na Africa ni wa kati ya tajiri na maskini TU baaasi.