Rwanda katuzidi wapi kwenye kutangaza utalii?

Warwanda wametuzidi akili mazingira yao ni mabovu ndio maana akili zinachaji ili wapate pesa sisi tupo busy kufikiri mpesa itajenga bara bara wakati tuna vyanzo vingi vya kupata pesa kupitia wageni huyo Spika hajui chanzo anaamini katika ongezeko la makato kwa Wananchi ndio wao watapata magari wanakera kweli hawa watu..
 
Apa Tanzania sidhani kama Kuna kiongozi mwenye hakili ya kufikiria mambo ya muhimu zaidi ya kupiga makofi na vigelegele kwenye maswala ya kipuuzi kusema kweli!! Labda itokee Rais ndo kaamua kufanya ivo ndo watapaiga makofi na kusapot itokee ila viongozi wengine ni wapuuzi tu.
 
Viongozi wetu wanachaguliwa sio kwa kuangalia uwezo bali ukada wa chama! Leo hii una kiongozi kama sabaya au msukuma au makonda unatarajia nini?
 
Viongozi wetu wanachaguliwa sio kwa kuangalia uwezo bali ukada wa chama! Leo hii una kiongozi kama sabaya au msukuma au makonda unatarajia nini?
Bungeni kwenyewe wamejaa CCM kazi yao ni kuwaza posho tu na kupiga makofi ilo wazo la kutangaza utaliii wanatoa wapi Sana Sana akitokea wa kutoa hiyo hoja Lazima watamfata after break kwajili ya kumuuliza ujasiri huo kautoa wapi!!!
 
Viongozi wetu wanachaguliwa sio kwa kuangalia uwezo bali ukada wa chama! Leo hii una kiongozi kama sabaya au msukuma au makonda unatarajia nini?
Nchi yao tu hii imewashinda Kuna shule moja uko Bush flani walimu wawili wanafundisha darasa moja kwa kuwa Kuna uhaba wa madarasa Leo hii waje kueka pesa kwenye kutangaza utaliii aiseh bongo bado Sana!!!
 
Lkn hela za kununua ma viete wanazo mkuu.
 
Sisi tuna Tv channel yetu ya Tanzania Safari Channel inayotangaza vivutio vyetu vya Utalii dunia nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…