Rwanda, Kenya na Uganda zajipanga kuwa na umeme wa nyuklia, Tanzania tumejipangaje?

Bhas kwa kua kenya rwanda wanazalisha umeme wa nyuklia na sisi tufuate. kama nishati tuliyonayo inajitosheleza kwa vyanzo vyetu tutumie vilivyopo hvyo vingne watakuja kutumia wajukuu wetu sustainable resources management
 
Kwauzia nuclear kama malighafi ya mitambi yao.
We are the producer of raw materials from time immemorial.
 
Umesema kuwa umeme wa nyuklia ni wa bei rahisi? Matunzo ya vinu vya hizo nyukilia, matunzo na uhifadhi wa taka nyulia unafahamu changamoto na ugumu wake?

Kiuhalisia sisi hatutakiwi kuunga mkono kujenga viwanda vya nyuklia kwasababu ya hatari za kiusalama zilizopo kwenye vinu vya nyuklia, tena kuna wakati tulitakiwa tuwazuie hata Rwanda kupata au kujenga vinu hivyo kwasababu madhara yake hata sisi yatatupata. Ulaya na ujanja wao wote wameona wengine waanze kuachana na umeme wa nyukilia kwasababu ya ugumu wa kutunza vinu na athari zake kwa binadamu na Mazingira
 
Ndo akili zetu hz zinavyo fanya kazi
Kuzuia kuzuia kuzuia chcohote kinachokuja cha kwanza kufanya ni kuzuia 😆
 
Back
Top Bottom