Tuko bize na chadema, utekaji, ulawiti, ubakaji, ufisadi, uchawi na mambo yanayofanana na hayoTumejipanga 2025 kushinda kwa kishindo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuko bize na chadema, utekaji, ulawiti, ubakaji, ufisadi, uchawi na mambo yanayofanana na hayoTumejipanga 2025 kushinda kwa kishindo
Ndo akili zetu hz zinavyo fanya kaziUmesema kuwa umeme wa nyuklia ni wa bei rahisi? Matunzo ya vinu vya hizo nyukilia, matunzo na uhifadhi wa taka nyulia unafahamu changamoto na ugumu wake?
Kiuhalisia sisi hatutakiwi kuunga mkono kujenga viwanda vya nyuklia kwasababu ya hatari za kiusalama zilizopo kwenye vinu vya nyuklia, tena kuna wakati tulitakiwa tuwazuie hata Rwanda kupata au kujenga vinu hivyo kwasababu madhara yake hata sisi yatatupata. Ulaya na ujanja wao wote wameona wengine waanze kuachana na umeme wa nyukilia kwasababu ya ugumu wa kutunza vinu na athari zake kwa binadamu na Mazingira