T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Kwa majeshi yenye traditions zilizosimama na yanayosimamia weredi na uzoefu badala ya who knows who huwezi kuta mtu aliyesimamia logistics huyohuyo anasimamia mafunzo, mipango na operesheni alafu baadae anaenda kusimamia mahakama kuu ya jeshi. Hizo ni kada tatu tofauti na zenye umuhimu mkubwa jeshini kiasi kwamba zinahitaji mtu anayezijua kwa usahihi na hawezi kuwa mmoja.Nyamvumba, born June 11, 1967, served as Minister of Internal Security from November 2019 to April 2020. He also previously served as and Rwanda Defence Force (RDF) Chief of Defence Staff...
Kisiasa hapa Afrika inaweza tumika kwa kulazimisha, mtu asimamie sheria za nchi na baadae asimamie usafirishaji nchini. Ila nje uko huwezi kuta mtu amebobea kwenye sheria alafu ni waziri wa usafirishaji. Ufanisi unazingatiwa.
Ukisoma historia ya majenerali waliowahi fanya vizuri duniani kwenye vita mbalimbali unakuta wengi wali-stick kwenye field moja na kui-master. Sio leo uko logistics, kesho kwenye operations, keshokutwa kwenye mahakama.