Bugucha
JF-Expert Member
- Jan 3, 2020
- 3,374
- 13,922
Inaonekana ww hujui mambo mkuu,sisi ndio wakwanza kupeleka balozi Rwanda ambaye ni " Major General"Kutuwekea mwanajeshi si ruhusa na nikosa kinchi.sijui katuonaje.labda mstaafu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonekana ww hujui mambo mkuu,sisi ndio wakwanza kupeleka balozi Rwanda ambaye ni " Major General"Kutuwekea mwanajeshi si ruhusa na nikosa kinchi.sijui katuonaje.labda mstaafu
Atalindwa na nani akiwa hapa...!!! Ni generali huyo.....!!! Hivi ubora wa generali wa Poland ana ubora ule ule wa generali kutoka China. Japani, Argentina, US au Hata Tanzania???Ni kawaida! Wala hakuna tishio la kiusalama.
We bwana wee mtu yule mrefu anatapa tapa za chini ya kapeti babu generoo amekuja kufanya "links " ya wadudu mana mambo si mambo kwa upande wao,.kwa madai yao wamejipanga ila wanafatiliwaHili ni jambo la kawaida ila nimeona bado Watz wanadhani imekaa kimkakati wa kuchunguzwa (espionage).
Usalama wa, nini? We, unafikiri majizi, ya, Mali ya, umma, yanatoka nje! Tunaishi nayo hapa hapa, majizi, ya tegeta escrow, yote ni wanachama wa, ccm, mkapa aliiba mgodi ye ye na mkewe! Mke wa, mwinyi ndie alikuwa anaongoza genge LA wizi wa, dhahabu miaka ya, 90,tuna "internal threats" Kibao ndani ya, nchi, na wengi ni, ccm, hata hao majasusi, wa, Rwanda wakija,nchi hii IPO uchi kabisa, tatizo, sio, kwamba hatuna watu wabobezi, kisa ni, kuanzia Raisi ni mwizi!Ki usalama hiyo imekaaje mkuu?
Wengi wameshapelekwa sio tui Afrika mpaka America huko; JK alimpeleka Canada, aliyekuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Idara ya Usalama wa Taifa ndugu Jack Zoka.Mbn sie tulimpeleka Mzee Siwa kipindi kile ? Acha aje ...
Sawa sawa MkuuWengi wameshapelekwa sio tui Afrika mpaka America huko; JK alimpeleka Canada, aliyekuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Idara ya Usalama wa Taifa ndugu Jack Zoka.
Watu wenyewe kwenye serikali za Kiafrika ni walewale tu; kikundi kidogo ndio kinatawala; hivyo wanabadilishana nyadhifa na sehemu tu.
Wape mfano Mabeyo ambaye alishakua mwambata wa kijeshi RwandaHaina shida maana hata nchi yetu imekuwa ikipeleka watu wa aina hiyo kutuwakilisha huko Rwanda.
Ili mtu awe balozi nchini mwako lazima kupitia rais itoe ridhaa, ndio sababu Kikwete aliwahi kusema kipindi akiw rais Kuna balozi aliletwa shoga wakamkataa.Sie tulipeleka Mzee Siwa na Huyo Kagame alilalamika sana na hakusikilizwa
Huyo mzee Siwa alikua na mabalaa gani mpaka alie lie kagame?😂😂. Shusha kifup tu chiefSie tulipeleka Mzee Siwa na Huyo Kagame alilalamika sana na hakusikilizwa
Sina uhakika kama amekuelewaway advanced wakati umeme ni wa mgao!!
Ahahahah... nimeipenda hii 😂😂haina shida kabisa hapa atambulia wa chuya kama akija kwa nia ovu
Basi inatoshaaaaa uchichemeeeee yotehana lolote huyo!!!!,,,atawekwa chizi fresh mbele ya geti la nyumba yake!! atawekewa mchoma mahindi kando ya ofisi yake,akiwa anatoka atakuwa akifuatiliwa na bodaboda wa mchongo,,na jitihada zinafanyika kuweka mende wa mchongo chooni mwake!!,,alaf atasukumiwa demmu kutoka singida anayejua kinyarwanda!!
Si hivyo huo ni uteuzi wa kistratejia zaidi.Hiyo ni demotion, kapelekwa ubalozi unawekwa mbali na jikoni.
Kama nani?Haina shida maana hata nchi yetu imekuwa ikipeleka watu wa aina hiyo kutuwakilisha huko Rwanda.