Watanganyika na Great Thinkers; haya ni mambo ya kawaida kabisa kwenye Diplomasia ya nchi za Kiafrika.
Tanzania tuna mabalozi wengi na tulishakuwa na mabalozi wengi waliowahi kuwa na nyadhifa za juu katika vyombo vya Ulinzi na Usalama ( JWTZ, Usalama wa Taifa, Magereza, JKT, Migration, Wizara Ya Mambo ya Ndani, Jeshi la Polisi)
Ila kwa kuwa hatusomi na hatutafuti habari tunaishia kwenye kuhisi na kutunga mambo yasiyo na ukweli.
Hawa ni baadhi ya mabalozi wa Tanzania nchi za nje wa sasa na miaka ya nyuma ambao waliwahi kushika nafasi za juu katika vyombo vya Usalama.
Watanzania msiwe na hofu na Rwanda, haya mambo ni ya kawaida sana; inategemea na wewe unavyotafsiri.
Tembea na hii orodha
2020 To Date - High Commissioner Pretoria, South Africa
2019 - 2022 - Ambassador Cairo, Egypt
2015 - 2018 - Ambassador Harare, Zimbabwe
2003 - 2010 - Ambassador Bujumbura, Burundi
2018 - 2021 - Ambassador Moscow, Russian Federation
2018 - 2021 - High Commissioner Kigali, Rwanda
2017 - 2019 - Ambassador Cairo, Egypt
2016 - 2021 - Ambassador Kinshasa, Congo (DR)
2000 - 2004 - Ambassador Kinshasa, Congo (DR)
1988 - 2000 - High Commissioner Abuja, Nigeria
2003 - 2006 - Ambassador Kigali, Rwanda
1988 - 2003 - High Commissioner Maputo, Mozambique
2013 - 2017 - Ambassador Beijing, China
2003 - 2006 - High Commissioner Harare, Zimbabwe
2014 - 2018 - Ambassador Moscow, Russian Federation
2004 - 2009 - High Commissioner Lilongwe, Malawi
Balozi Meja Jenerali Ramson G Mwaisake - Rwanda
Balozi IGP (rt) Simon N Sirro - Malawi
Balozi Lt. Gen Mathew Edward Mkingula
Balozi - Lt. Gen Yacub Mohamed - UAE
Balozi - Dr. Modestus F Kipilimba - Namibia