Rwanda kuna njaa kali sana? Wameficha wee Jumuiya ya mataifa imejua

Huyo Mkuu ambaye umereply comment yake sidhani kama umemuelewa.
nimemuelewa sana na nnakijua nachosema rwanda hakuna njaa kama mvua inanyesha sana na kwa nature ya nchi ile kuna maeneo wanaishi kama tukuyu mvua mda mwingi na wanalima ndizi pia hakuna njaa hayo mashirika yaache propaganda
 
Hajamuelewa hata kidogo
sijamwelea kitu gani kuhusu mvua ukisoma geografia ya rwanda wala huulizi kuhusu upatikananaji wa mvua na nchi ambazo wananchi wengi wanaishi vijinini njaa ni propaganda labda kuwe na ukame kama sudani kule na somalia
 
RWanda ipi inalima? Rwanda kuna njaa na chakula ni ghari sana, Mahindi, Mchele wanategemea itoke Tanzania,
 
sijamwelea kitu gani kuhusu mvua ukisoma geografia ya rwanda wala huulizi kuhusu upatikananaji wa mvua na nchi ambazo wananchi wengi wanaishi vijinini njaa ni propaganda labda kuwe na ukame kama sudani kule na somalia
umefika Rwanda? Kwanza chakula ni ghari sana Rwanda, Nenda vijijiji huko ujioneee
 
umefika Rwanda? Kwanza chakula ni ghari sana Rwanda, Nenda vijijiji huko ujioneee
kuna kiwanda kidogo cha familia
-mbona unaongelea bei za vyakula mkuu
- jamii ya watu wa kule wanaishije hadi useme kuna njaa
-asilimia ngapi wako vijijini
-asimia ngapi wako mijini
-asilimia ngapi wanalima chakula kwa matumizi binafsi
-na asilimia ngapi hawalimi wanategemea chakula cha kununua
 
Mtu kama wewe nashindwa kukujibu maana hata huelewi namaanisha nini
Mkuu we elezea tu !!
Namm nachoongea nauhakika hizi ishu za njaa huko zinatrend mtandaoni siku nzima!
Unaweza fatilia vita ya twiter kati ya rwanda na burundi pia inahusu rwanda kuwa na njaa kufikia hatua ya kula mbwa
 
Tukutafutie record ya hayo matukio??
 
Japo Rwanda wanataka kujipalia mkaa kwa kukubali wakimbizi wa dini ile, sijui wataweza vipi maugaidi yao...
Kagame sio kama Ccmu hana ushosti kwenye dini , haya mambo yanakujaga kuharibika baada ya kuyalea kwa muda mrefu ila akipatikana kiongoz mkali wanatulia tu
 
Tukutafutie record ya hayo matukio??
bosi miezi miwili ijayo naenda rwanda wala usinitafutie
ninazo taarifa za uzalishaji usio wa kuridhisha kati ya september 2023 hadi february 2024 kutokana na mafuriko na sababu zingine lakini rwanda wana uwezo wakuagiza chakula nje na mpaka sasa wanaagiza wanaofanya biashara rwanda wanaelewa kuna upungufu hakuna njaa, hata sisi tanzania hua kuna tokea upungufu mara nyingi kama una fatilia taarifa lakini haimaanishi hua tunakua na njaa.
 
Mkuu we elezea tu !!
Namm nachoongea nauhakika hizi ishu za njaa huko zinatrend mtandaoni siku nzima!
Unaweza fatilia vita ya twiter kati ya rwanda na burundi pia inahusu rwanda kuwa na njaa kufikia hatua ya kula mbwa
Sasa njaa inatoka wapi na mvua rwanda zinanyesha mwaka mzima? Hivi Burundi ni ya kuilinganisha na Rwanda kiuchumi mkuu? Usiamini propaganda za mitandaoni
 
Kagame sio kama Ccmu hana ushosti kwenye dini , haya mambo yanakujaga kuharibika baada ya kuyalea kwa muda mrefu ila akipatikana kiongoz mkali wanatulia tu

Tatizo hataishi milele, akiacha wajazane pale, kwa kawaida yao huzaliana sana kwa muda mfupi, sasa yeye atezeeka na kuwaachia watu wake msala mkubwa sana....maana yatazaliana na kuanza kuagiza sharia na maugaidi mengine...
 
Kagame sio kama Ccmu hana ushosti kwenye dini , haya mambo yanakujaga kuharibika baada ya kuyalea kwa muda mrefu ila akipatikana kiongoz mkali wanatulia tu
Huyo kiongozi mkali ataishi milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…