Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Lete Maneno.....POle zao shida ni mbaya sana kwa maisha haya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lete Maneno.....POle zao shida ni mbaya sana kwa maisha haya
Madkteta ndivyo yalivyo, kazi kusifiwa tu. Nyambafu.Kitaalamu tunaweza kusema:
KUCHAMBA KWINGIII...
Rais wao ni mtu wa hivyo.
nimemuelewa sana na nnakijua nachosema rwanda hakuna njaa kama mvua inanyesha sana na kwa nature ya nchi ile kuna maeneo wanaishi kama tukuyu mvua mda mwingi na wanalima ndizi pia hakuna njaa hayo mashirika yaache propagandaHuyo Mkuu ambaye umereply comment yake sidhani kama umemuelewa.
sijamwelea kitu gani kuhusu mvua ukisoma geografia ya rwanda wala huulizi kuhusu upatikananaji wa mvua na nchi ambazo wananchi wengi wanaishi vijinini njaa ni propaganda labda kuwe na ukame kama sudani kule na somaliaHajamuelewa hata kidogo
Mtu kama wewe nashindwa kukujibu maana hata huelewi namaanisha ninikupata mvua ndo kuwa na chakula au utakula nyasi???
Au hujui njaa inasababishwa na nn??
RWanda ipi inalima? Rwanda kuna njaa na chakula ni ghari sana, Mahindi, Mchele wanategemea itoke Tanzania,kweli mkuu watu wamelogwa na taarifa za mashirika ya kikoloni waafrika wenzetu wameacha kufikiria
-mtu kama unalima chakula chako unafuga watasema una njaa
-kuna mahusiano gani ya njaa na kuishi chini ya dolla moja
-jamii nyingi kwa nchi za maziwa makuu wanaishi kwa kulima wao wenyewe hawahitaji kutumia dolla
-sehemu ndogo tu ya watu wanaoishi mijini ndio watahitajika kutumia pesa kidogo kwasababu ya mboga vyakula vyetu vikuu vinajulikana ndizi, ugali, wali, njaa inatoka wapi
-ukiniambia marekani kuna njaa ntakubalia na wewe utalima wapi marekani mashamba wamemilikishwa watu wachache na wao ndio wanaamua ule au usile
haya mashirika ya kimataifa yapo kimkakati kuharibu mahusiano ya raia na nchi zao ndio maana us ni donor mkubwa kwenye haya mashirika
kama us nchi kama nchi inaendeshwa na deep state yaani wao wanamwona biden lakini hakuna maamuzi anayofanya bila deep state akizingua wanamblackmail kwa haya mashirika ndio hamna kitu kabisa
rwanda hakuna njaa
umefika Rwanda? Kwanza chakula ni ghari sana Rwanda, Nenda vijijiji huko ujioneeesijamwelea kitu gani kuhusu mvua ukisoma geografia ya rwanda wala huulizi kuhusu upatikananaji wa mvua na nchi ambazo wananchi wengi wanaishi vijinini njaa ni propaganda labda kuwe na ukame kama sudani kule na somalia
kuna kiwanda kidogo cha familiaumefika Rwanda? Kwanza chakula ni ghari sana Rwanda, Nenda vijijiji huko ujioneee
Mkuu we elezea tu !!Mtu kama wewe nashindwa kukujibu maana hata huelewi namaanisha nini
Tukutafutie record ya hayo matukio??kuna kiwanda kidogo cha familia
-mbona unaongelea bei za vyakula mkuu
- jamii ya watu wa kule wanaishije hadi useme kuna njaa
-asilimia ngapi wako vijijini
-asimia ngapi wako mijini
-asilimia ngapi wanalima chakula kwa matumizi binafsi
-na asilimia ngapi hawalimi wanategemea chakula cha kununua
Kagame sio kama Ccmu hana ushosti kwenye dini , haya mambo yanakujaga kuharibika baada ya kuyalea kwa muda mrefu ila akipatikana kiongoz mkali wanatulia tuJapo Rwanda wanataka kujipalia mkaa kwa kukubali wakimbizi wa dini ile, sijui wataweza vipi maugaidi yao...
bosi miezi miwili ijayo naenda rwanda wala usinitafutieTukutafutie record ya hayo matukio??
Sasa njaa inatoka wapi na mvua rwanda zinanyesha mwaka mzima? Hivi Burundi ni ya kuilinganisha na Rwanda kiuchumi mkuu? Usiamini propaganda za mitandaoniMkuu we elezea tu !!
Namm nachoongea nauhakika hizi ishu za njaa huko zinatrend mtandaoni siku nzima!
Unaweza fatilia vita ya twiter kati ya rwanda na burundi pia inahusu rwanda kuwa na njaa kufikia hatua ya kula mbwa
Kagame sio kama Ccmu hana ushosti kwenye dini , haya mambo yanakujaga kuharibika baada ya kuyalea kwa muda mrefu ila akipatikana kiongoz mkali wanatulia tu
Huyo kiongozi mkali ataishi mileleKagame sio kama Ccmu hana ushosti kwenye dini , haya mambo yanakujaga kuharibika baada ya kuyalea kwa muda mrefu ila akipatikana kiongoz mkali wanatulia tu