Tetesi: Rwanda kuwekeza Tanzania kwenye sekta ya Madini

WIZI MTUPU!

 
Tanzania imekosa dira juu ya raslimali...

Tanzania ya Nyerere na hii ya leo ni Sawa na mbingu na nchi zilivyo mbali.

Eeeh, Tanzania unakuwa kibaraka wa Rwanda badala ya Rwanda kuendelea kuwa mtumwa wetu!?

Miaka ya 60s , 70s hadi 80s wanyarwanda walikuwa watumwa wetu wa kufyeka, kulima, kupalilia mashamba na kutuvunia mazao tunawapa malipo ya chakula tu cha siku hiyo leo hii tunawapa nchi , tunawapa madini!?

Maria Nyerere, tusaidie waambie tulivyokuwa tunawakodi wanyarwanda watufanyie kazi kule mashambani mwetu kanda ya ziwa.

Anayetaka kujua ukweli huu aende TBC Taifa redio TBC FM aombe sehemu ya pili ya mahojiano ya Mama Maria Nyerere asikilize namna tumewatumikisha wanyarwanda kulima na kuchunga mifugo yetu.

Sasa leo mnataka kuwapa migodi , madini, wataalamu wa ICT watoke warwanda kuja Tanzania!!
Guys, give me a break, it real sounds as an idiot decision.

Tuamke Tanzania tuache ujuha huu.
 
Hatukatai ila source ni IPI? Au wewe ni Wa jikoni?
 
Mmmh urafiki huu wa serikali ya Rwanda kuja kuwekeza kwetu ni kama urafiki wa swala na simba.
Nahisi mmoja wapo kuja kulia mbeleni na si mwingine ni sisi
Harafu usifikiri Tanzania ni mazezeta kama mnavyofikiria ,Tuna TISS inafanya KAZI ndani Na nje ya nje Yetu kuhakikishi nchi inapata kile kinachostahili.
 
Mange kimambi alisema lakin alitukanwa balaa ...cjuw cc wa tz tumelogwa lazima sio bure
 
Habari isiyokuwa na chanzo ipeleke insta na facebook,Rwanda can only FAKI with DRC not my beloved Tanzania.
 

Hivi na wewe umeajiriwa na unalipwa mshahara kabisa? Uandishi wako unaonesha wewe ni Mama wa nyumbani.
 
Hatutaki Magu usituletee balaa sisi yanayotokea DRC unataka yaje na huku??? ccm msiliingize taifa kwenye giza nene! Afadhali mzungu kuliko Rwanda hawa ni wauaji watatumaliza wageuze Tz ni yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…