Mr. Bigman
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 2,560
- 1,300
Bullshit!Sweeping stupid statement with no iota of evidence. Awuoro!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bullshit!Sweeping stupid statement with no iota of evidence. Awuoro!!!!!
Sure braza, naiona hii hali, Mr slim kamshika pabaya. hata kuzuia Makinikia yalikuwa ni maelekezo aliyopewa!!!Roho inaniuma kama hata nina faida nayo Kumbe ndiyo maana kuna mtu anakiburi cha Ajabu kumbe Ajua nini? Kinaendelea na Kama ni kweli basi mjue mzee hatakuwa tayari Kuretire
Umenena mkuu yule mzee sio wa kuamini kabisaSijawahi mwamini Kagame!!!
Sheria gani iliyotungwa na kuziba mianya? Hiyo ya kumkabidhi kila kitu baba jesica na mwanae dotto? Hiyo ambayo CAG haruhusiwi kukagua migodi yetu? Hiyo ambayo rwanda wamegawiwa mgodi wa tanzanite bila hata kujua tenda imetangazwa lini na kwa taratibu gani?Nafikiri suala la madini ni sensitive sana kwa muktadha wa maendeleo na uchumi wetu. Pia wanyarwanda ni marafiki zetu, tumeoa kwao na wao wameoa kwetu. Hata baadhi ya wanajeshi wake wamekulia bongo na wengine wamepata mafunzo hapa hvy sio wa kuogopa kiivyo.
Pia uchumi wa Rwanda unakua sana na hata hela yao ni kubwa kuzidi yetu.
Sidhani kama wao kuwekeza ndo iwe ishu sana ya watu kuitolea macho. Ni bora mara kumi mtu mweusi mwenzako akuibie kuliko mzungu maana tumewaona kama mungu hapa duniani.
Kwanza mpaka sasa sijasikia kama waziri karuhusu utokewaji wa leseni na hvyo kuna watanzania wengi wanahitaji kuuza bidhaa hyo, huenda ni fursa nzuri.
Pia uwezo wa kuwa monitor kila kitu tunawez na hata kushika Mali zao maana wapo karibu, kuliko wazungu ambao hawataki kutoa ushirikiano wa madini yaliyosafirishwa kienyeji (blood diamond) na sehemu nyingine wamesababisha nchi kuingia vitani.
What I believe ni kuwa kwa sasa nchi imeamua kuwa madini yetu yauzwe hapa hapa, wazo jema sana, pili mwenye uwezo wa kujenga mambo wa kuchenjua madini, nasikia wachina wapo mbioni kujenga na hvyo kwa kuwa sheria yetu imeshatungwa na somehow imeziba mianya mbali mbali, maybe tusubir tuone na si kila kitu tunapinga, tusijeambiwa kuwa binadamu huzaliwa, hukua, huoa, huzeeka na hufa bado tunakata tu. Sijui kwa nini tunakuwa tumeshakata tamaa za maisha basi kila kitu kwetu ni kichefuchefu tu. Please
Baba sio raia...huitaji hata cheti cha la saba kujua hilo....I start to doubt utaifa wa mtu flani na patriotism yake...... kuna sehemu kosa kubwa sana limefanyika.... Nchi inagawiwa mchanga kweupeee...hao Rwanda wanatoa wapi mtaji na uzoefu na wanawekeza kwa mtindo upi..
Mmh isije ikawa ndio ilikuwa Mipango ya ile jamii kuchukua urais kwa nchi zetu ili waje wachumeBaada ya wawekezaji wa kigeni kuzingua juu ya ukwepaji wa kodi na utoroshaji wa rasilimali kama makinikia serikali ya Rwanda inatarajia kuja kuwekeza Tanzania katika sekta ya madini
Ni jambo jema na kutia moyo kuona waafrika wenzetu na jirani zetu wanakuja kuwekeza
Huu ni wakati wetu sisi waafrika kujiendeleza sisi kama sisi baina ya nchi na nchi
Na kupitia hivyo utaratibu umeshaanza na serikali ya rwanda inatarajiwa kuwekeza kwenye migodi 18 ya mwanzo kama makubaliano ya mwanzo
Na uzuri ni kuwa tutapata kodi ya kutosha na kunufaika vya kutosha
My take:
Tujitahidi sana wawe wanalipa kodi ya kutosha na sisi tufaidike na pia kama itawezekana serikali ya tanzania iingie ubia na serikali yetu iwekeze kwenye migodi yote ya tanzania ambayo inaonekana inasua sua
Na hili litatufanya tunufaike mno kiuchumi
He Binge letu limetaarifiwa kuhusu huu uwekezaji??, kwa Rwanda kama Rwanda, siamini, uwezo huo hawana, ispokuwa , kama kuna Mataifa ya nje has a ya magharibi yanataka kuitumia Rwanda kama daraja LA kuingilia kusomba madini yetu , huku Rwanda wakipewa padenti kidogo, ila Mimi naliomba Bunge letu WASIKUBALI RWANDA KUJA KUWEKEZA HAPA TANZANIA, watatuletea ukabila, maana mpaka sasa kwao hawaminiani, Mtutsi na Mhutu, wanaishi kama urafiki wa Chui na Kondoo, wasije tuvurugia mdhikamano tulioachiwa na Baba wa wa Taifa Mwalimu, Bunge , chonde chonde , msikubali hats kidogo.Baada ya wawekezaji wa kigeni kuzingua juu ya ukwepaji wa kodi na utoroshaji wa rasilimali kama makinikia serikali ya Rwanda inatarajia kuja kuwekeza Tanzania katika sekta ya madini
Ni jambo jema na kutia moyo kuona waafrika wenzetu na jirani zetu wanakuja kuwekeza
Huu ni wakati wetu sisi waafrika kujiendeleza sisi kama sisi baina ya nchi na nchi
Na kupitia hivyo utaratibu umeshaanza na serikali ya rwanda inatarajiwa kuwekeza kwenye migodi 18 ya mwanzo kama makubaliano ya mwanzo
Na uzuri ni kuwa tutapata kodi ya kutosha na kunufaika vya kutosha
My take:
Tujitahidi sana wawe wanalipa kodi ya kutosha na sisi tufaidike na pia kama itawezekana serikali ya tanzania iingie ubia na serikali yetu iwekeze kwenye migodi yote ya tanzania ambayo inaonekana inasua sua
Na hili litatufanya tunufaike mno kiuchumi
Mimi nawasihi Vigogo wa CCM, Waukatae huu mpango, kama upo , maana hawa jamaa watatuletea ya DRC KONGO ,Hawa ni wachumia tumbo.Maajabu ya serikali ya CCM kushindwa kuchimba madini na kuikabidhi Serikali ya Rwanda.
Acha mawazo mgando...hawa ccm mumewapannchi for 50+ years wakatufikisha hapo bado unawaamini kumzuia mwenyekiti wao?Mimi nawasihi Vigogo wa CCM, Waukatae huu mpango, kama upo , maana hawa jamaa watatuletea ya DRC KONGO ,Hawa ni wachumia tumbo.