Tetesi: Rwanda kuwekeza Tanzania kwenye sekta ya Madini

nasikia ukuta umejengwa ,walinzi wanyaruanda ,na CAG hana ruhusa kukakugua masuala ya madini na uwekezaji huo !!!!!!!!
 
Uwekezaji hauna sura, wala Taifa wakipata muwekezaji kutoka pote duniani watawekeza wakikidhi vigezo, tuache ubaguzi wa kijinga
 
Baada ya wawekezaji wa kigeni kuzingua juu ya ukwepaji wa kodi na utoroshaji wa rasilimali kama makinikia serikali ya Rwanda inatarajia kuja kuwekeza Tanzania katika sekta ya madini

Ni jambo jema na kutia moyo kuona waafrika wenzetu na jirani zetu wanakuja kuwekeza
Huu ni wakati wetu sisi waafrika kujiendeleza sisi kama sisi baina ya nchi na nchi
Na kupitia hivyo utaratibu umeshaanza na serikali ya rwanda inatarajiwa kuwekeza kwenye migodi 18 ya mwanzo kama makubaliano ya mwanzo

Na uzuri ni kuwa tutapata kodi ya kutosha na kunufaika vya kutosha

My take:
Tujitahidi sana wawe wanalipa kodi ya kutosha na sisi tufaidike na pia kama itawezekana serikali ya tanzania iingie ubia na serikali yetu iwekeze kwenye migodi yote ya tanzania ambayo inaonekana inasua sua

Na hili litatufanya tunufaike mno kiuchumi

Sasa hii si aibu kama unachosema ni kweli. Rwanda weledi kwenye secta ya madini watushinde Tanzania???
 
nchi maskini kama rwanda haina uwezo huo, labda kama inakuja as midleman wa hao tuliowavuruga
 
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] yule wanasema mwanamke yuko USA huwa anaandika huu utani.Sijui anaiba wapi hizi data aiseee
Yule Dada atakuwa anapewa taarifa Na watu Nyeti Sn Serikalini
 
Roho inaniuma kama hata nina faida nayo Kumbe ndiyo maana kuna mtu anakiburi cha Ajabu kumbe Ajua nini? Kinaendelea na Kama ni kweli basi mjue mzee hatakuwa tayari Kuretire
 
Baada ya wawekezaji wa kigeni kuzingua juu ya ukwepaji wa kodi na utoroshaji wa rasilimali kama makinikia serikali ya Rwanda inatarajia kuja kuwekeza Tanzania katika sekta ya madini

Ni jambo jema na kutia moyo kuona waafrika wenzetu na jirani zetu wanakuja kuwekeza
Huu ni wakati wetu sisi waafrika kujiendeleza sisi kama sisi baina ya nchi na nchi
Na kupitia hivyo utaratibu umeshaanza na serikali ya rwanda inatarajiwa kuwekeza kwenye migodi 18 ya mwanzo kama makubaliano ya mwanzo

Na uzuri ni kuwa tutapata kodi ya kutosha na kunufaika vya kutosha

My take:
Tujitahidi sana wawe wanalipa kodi ya kutosha na sisi tufaidike na pia kama itawezekana serikali ya tanzania iingie ubia na serikali yetu iwekeze kwenye migodi yote ya tanzania ambayo inaonekana inasua sua

Na hili litatufanya tunufaike mno kiuchumi
Kumbe ndio maana mmezungusha ukuta Meeerani?
 
Ndy maana MANGE KIMAMBI alishasema hili,,, KAGAME ANAKUJA kimya kimya huko MIGODINI ARUSHA,,,bila taarifa na kuondoka...hivi KAZI YA USALAMA WA TAIFA NI NN?
 
Rwanda nchi ya kimaskini ile wanapesa gani ya kuwekez kwetu hii michezo hii Rwanda tumeipita uchumi leo ije iwekeze kwetu kweli..michezo c bure
 
Na inasemekana kwa habari za uhakika kuwa Kagame kaweka makazi yake ndani ya ukuta mpya uliojengwa uko Arusha na alikuwepo hapo kwa siku nne sasa juzi kaondoka,
KAMA UWEKEZAJI HUU UNA NIA NJEMA MBONA HAWATANGAZI?
TANZANIA UNDER INVASION!
WATZ TUNAINGIA KTK HISTORIA YA KUWA BINADAMU WAJINGA KUWAHI KUTOKEA KTK HISTORIA YA DUNIA!
SOMETIMES UWA NAONA KAMA TUKO KTK STAGE YA MWANZO YA EVOLUTION OF MAN,WATU WANASHABIKIA MIPIRA,UDAKU,
SHOWS ZA MIZIKI WANAACHA VITU VYA MISINGI KM HALI TETE YA SASA!
Hatuko sawa kichwani am ashamed to be Tanzanian, am about to renounce my citizenship
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] yule wanasema mwanamke yuko USA huwa anaandika huu utani.Sijui anaiba wapi hizi data aiseee
 
Baada ya wawekezaji wa kigeni kuzingua juu ya ukwepaji wa kodi na utoroshaji wa rasilimali kama makinikia serikali ya Rwanda inatarajia kuja kuwekeza Tanzania katika sekta ya madini

Ni jambo jema na kutia moyo kuona waafrika wenzetu na jirani zetu wanakuja kuwekeza
Huu ni wakati wetu sisi waafrika kujiendeleza sisi kama sisi baina ya nchi na nchi
Na kupitia hivyo utaratibu umeshaanza na serikali ya rwanda inatarajiwa kuwekeza kwenye migodi 18 ya mwanzo kama makubaliano ya mwanzo

Na uzuri ni kuwa tutapata kodi ya kutosha na kunufaika vya kutosha

My take:
Tujitahidi sana wawe wanalipa kodi ya kutosha na sisi tufaidike na pia kama itawezekana serikali ya tanzania iingie ubia na serikali yetu iwekeze kwenye migodi yote ya tanzania ambayo inaonekana inasua sua

Na hili litatufanya tunufaike mno kiuchumi
Nafikiri suala la madini ni sensitive sana kwa muktadha wa maendeleo na uchumi wetu. Pia wanyarwanda ni marafiki zetu, tumeoa kwao na wao wameoa kwetu. Hata baadhi ya wanajeshi wake wamekulia bongo na wengine wamepata mafunzo hapa hvy sio wa kuogopa kiivyo.

Pia uchumi wa Rwanda unakua sana na hata hela yao ni kubwa kuzidi yetu.

Sidhani kama wao kuwekeza ndo iwe ishu sana ya watu kuitolea macho. Ni bora mara kumi mtu mweusi mwenzako akuibie kuliko mzungu maana tumewaona kama mungu hapa duniani.

Kwanza mpaka sasa sijasikia kama waziri karuhusu utokewaji wa leseni na hvyo kuna watanzania wengi wanahitaji kuuza bidhaa hyo, huenda ni fursa nzuri.

Pia uwezo wa kuwa monitor kila kitu tunawez na hata kushika Mali zao maana wapo karibu, kuliko wazungu ambao hawataki kutoa ushirikiano wa madini yaliyosafirishwa kienyeji (blood diamond) na sehemu nyingine wamesababisha nchi kuingia vitani.

What I believe ni kuwa kwa sasa nchi imeamua kuwa madini yetu yauzwe hapa hapa, wazo jema sana, pili mwenye uwezo wa kujenga mambo wa kuchenjua madini, nasikia wachina wapo mbioni kujenga na hvyo kwa kuwa sheria yetu imeshatungwa na somehow imeziba mianya mbali mbali, maybe tusubir tuone na si kila kitu tunapinga, tusijeambiwa kuwa binadamu huzaliwa, hukua, huoa, huzeeka na hufa bado tunakata tu. Sijui kwa nini tunakuwa tumeshakata tamaa za maisha basi kila kitu kwetu ni kichefuchefu tu. Please
 
Baada ya wawekezaji wa kigeni kuzingua juu ya ukwepaji wa kodi na utoroshaji wa rasilimali kama makinikia serikali ya Rwanda inatarajia kuja kuwekeza Tanzania katika sekta ya madini

Ni jambo jema na kutia moyo kuona waafrika wenzetu na jirani zetu wanakuja kuwekeza
Huu ni wakati wetu sisi waafrika kujiendeleza sisi kama sisi baina ya nchi na nchi
Na kupitia hivyo utaratibu umeshaanza na serikali ya rwanda inatarajiwa kuwekeza kwenye migodi 18 ya mwanzo kama makubaliano ya mwanzo

Na uzuri ni kuwa tutapata kodi ya kutosha na kunufaika vya kutosha

My take:
Tujitahidi sana wawe wanalipa kodi ya kutosha na sisi tufaidike na pia kama itawezekana serikali ya tanzania iingie ubia na serikali yetu iwekeze kwenye migodi yote ya tanzania ambayo inaonekana inasua sua

Na hili litatufanya tunufaike mno kiuchumi
Sasa nimeelewa nini maana ya kujenga ukuta.... Na kutungwa kwa ile sheria mpya.... 😳 😳 😳
 
nililisema mapema baada ya kupewa info
 
Back
Top Bottom