Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana nikasema muda utaongea usijibu tu bila kufikiria au kwakua ni wahuko hukoKwa hiyo kwa kuwa alikuwa haivi naye, unataka huyu assign naye? Huyu naye akitoka akaja mwingine unataka naye asiive na wale ambao huyu wa sasa haivi nao?
Hata hiyo hawanaSio pesa tu, vipi kuhusu teknolojia?
Labda iwe wanatumiwa tu na jamaa yetu.Mkuu inawezekana tu.
---
Unadhani wakati wa ubinafshaji wa mabenki kila mwekezaji alikuja na keshi?
---
Hii ni inaweza kuwa "economy table" mtu akala dume.
>>YANGU MACHO TU.
Yafaa uanze haraka maana kumeoza huko. Labda uwe mtusi mwenzao unaona sawa. It won't happen. Mark my wordsAnd yet we calk ourselves great thinkers. Tuanze kula tena korosho na almond vichwa vichangamke
HahahahaHabari hizi fununu ilishatoka na watu wakangelea.. acheni kumsifia mtu ambaye nae alijua kama wengine na sio kutumia voodoo kujua.
aliyemwelewa huyu aniambie.
Hujui unalolosema wewe,awamu ya tatu na ya nne zisinge vurunda kama hao jamaa wangekuwepo fungua ubonhowako huo uliojaa majiHarafu usifikiri Tanzania ni mazezeta kama mnavyofikiria ,Tuna TISS inafanya KAZI ndani Na nje ya nje Yetu kuhakikishi nchi inapata kile kinachostahili.