meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,425
- 4,768
- Thread starter
- #21
Kunaweza kuwa na mantiki flani hivi ya Nkurunziza kung'ang'ania madaraka!Watu weusi tunatia aibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunaweza kuwa na mantiki flani hivi ya Nkurunziza kung'ang'ania madaraka!Watu weusi tunatia aibu
Hao militants wamekiri kufundishwa na Rwanda Mzungu anaingiaje hapo?Sisi waafrica ni ma taahira tunapenda kucheza mziki wa wazungu siku zote Lengo la mataifa ya magharibi ni kumng'oa Kagame Wazungu siku zote hawapendi kuona mwafrika mwelevu. hiyo ni chokochoko ili waingie Rwanda wala sio Burundi kwani ya burundi wanayafurahia sana trust me Mungu ataendelea kumlinda huyu Kagame ili waafrika tujifunze namna ya uongozi bora na jinsi ya kuwaletea wananchi maendeleo
Hoja yako inanikumbusha kifo cha Mch. Mtikila!Kila ukanda fulani kunakua na nchi yenye nguvu kuliko zingine na inakua inatoa miongozo fulafula, na hata wakati mwingine inaweza kuamua au kupanga nani anafaa kuwa rais ktk nchi jiran na hasa wanapoona mtu huyo Ana faida kwa nchi hiyo, mfano wa majirani zetu wa MALAWI, Yule mama wakati anataka urais alianza usumbufu kuhusu ziwa nyasa,mtaalam JK alimtembelea akamchekea kulee! Kilichomtokea kwenye urais nafikili mmeona, na aliewekwa kwa wafuatiriaji mnamjua venal.SASA KWA HUYU KAGAME ANAONEKANA KUTAMANI KUMILIKI UKANDU HUO NA SIJUI KAMA ATAWEZA. na ndiomaana kilasiku anajalibu kutukana viongozi wetu hapa, na nafikili anajifutia balaa na kunasiku yatamkuta yy mwenyewe.
Usisahau alitaka kutuwekea Rais mamluki hivi majuzi tu...kumbuka kauli ya Christopher Mtikila.Suala la Rwanda kupanga mikakati ya kupindua serekali ya Nkurunzinza si mpaka tuambiwe na BBC siku nyingi ilishajulikana Kagame ndio kinara wa fujo eneo la maziwa makuu.
Alisambaratisha serekali ya Congo DRC kama si msaada wa nchi za SADC Kabila angeshaondolewa madarakani.Alijaribu kuitikisa serekali ya Tanzania kwa kupeleleza TPDF hadi mwanajeshi wetu mwenye asili ya kitusi (mwangaza) Col akakimbilia Rwanda mpaka leo kafichwa na serekali ya Kigali.
Rwanda ni muasisi wa CoW ukiwa ni mkakati wa kuyumbisha maslahi ya Tanzania EAC.Linapozungumzwa swala la Rwanda kwangu mimi naoana ni mkakati wa muda mrefu wa jamii ya kitutsi kutaka kutawala eneo lote la maziwa makuu na kujiona wao watutsi ni class ya juu kuliko jamii nyingine (HIMA EMPIRE).
Kunaweza kuwa na mantiki flani hivi ya Nkurunziza kung'ang'ania madaraka!
Chanzo kimeshatajwa kuwa ni reuters na vile vile BBC tayari wamesharipotiMkuu unawezakutupa chanzo au kuweka hiyo document au ni habari za virabu vya wanzuki?maana unachokiongea ni kitu kizito kuongea bila hata ushahidi ni kuropoka au umbea!Usijidanganye nyuma ya keyboard!
Mchawi ni Nkurunziza,swala la msingi ni kujiuliza chanzo cha haya yote ni nn? Na je, isingekua uchu wa madaraka haya yote yangetokea?Yale yale ya Z'bar,tunatafuta mchawi nje wakati mchawi ni wa humu humu ndani.ThinkRipoti ya siri katika baraza la usalama la Umoja wa Mataifa inaishtumu Rwanda kwa kuwasajili na kuwapa mafunzo wakimbizi wa Burundi kwa lengo la kumpindua rais wa Burundi Pierre Nkurunziza.
Kulingana na chombo cha habari cha Reuters,ripoti hiyo ya wataalam wa Umoja wa Mataifa ambao hufuatilia vikwazo dhidi ya taifa la DR Congo inadai kwamba mafunzo yalifanywa katika kambi moja ya msituni nchini Rwanda,kwa mujibu wa Reuters.
Wataalam hao wamesema katika ripoti hiyo kwamba walizungumza na wapiganaji 18 wa Burundi mashariki mwa mkoa wa kusini wa Kivu nchini DRC,kulingana na chombo hicho cha habari.
''Wote waliliambia kundi hilo kwamba wamesajiliwa katika kambi ya wakimbizi ya Mahama mashariki mwa Rwanda mnamo mwezi Mei na Juni mwaka 2015 na walipatiwa miezi miwili ya mafunzo ya kijeshi na walimu wao,ambao walishirikisha wanajeshi wa Rwanda'',Reuters imenukuu ripoti hiyo ikisema.
Akijibu madai hayo, waziri wa maswala ya kigeni nchini Rwanda Louise Mushikiwabo amesema kuwa mgogoro huo wa Burundi ni mzito na wa kujitakia miongoni mwa viongozi wa taifa hilo na kwamba jamii ya kimataifa inafaa kuuangazia na kuwacha kutafuta sababu za kuuepuka.
''Ni Muhimu kuelewa kwamba usimamizi wa wakimbizi wa taifa jirani ni swala gumu,hivyobasi Serikali ya Rwanda imelazimika kuweka sheria kali dhidi ya wakimbizi wa Burundi''.
Mushikiwabo amesema kuwa madai hayo yanatokana na hatua ya Rwanda kuwahifadhi wakimbizi wa Burundi ambao wanadaiwa kuwa wapinzani wa serikali.
Waziri huyo ameongezea:Hatuwezi kuwarudisha wakimbizi hao hadi pale kutakapokuwa na mfumo ambao utalinda maisha yao nchini Burundi.
Burundi imekabiliwa na machafuko tangu mwezi Aprili,wakati rais Pierre Nkurunziza alipotangaza kwamba atawania muhula wa tatu wa urais,ambao alishinda.
Alinusurika jaribio la mapinduzi mnamo mwezi Mei,na majenerali wake wanne wamehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kupanga kumpindua.
=======
Acha kumnyoshea kidole Kagame wa mbali angalia yanayotokea Z'bar.Na Kagame pia kung'ang'ania madaraka!, Mpaka sasa ana miaka 20 akiwa rais na anabadili katiba ili aongoze tena kwa miaka 17 ijayo.
CHAMA KIMOJA KUNGANGANIA MADARAKA YA NCHI KIKIJIWEKEA AU KUJICHAGULIA WATU WAKE PAMOJA NA KUPINDISHA MISINGI YA DEMOKRASIA / HAITOFAUTIANI NA SANA NA AKINA KAGAME! AU MUSEVENI.Acha kumnyoshea kidole Kagame wa mbali angalia yanayotokea Z'bar.
Mimi ni maji ya kunde!!Watu weusi tunatia aibu
oops! kumbe kuna machimbo mengine huku? na hili ndio jukwaa gani tena? naona mnatesa bila mpinzani! haya na chanzo kingine hiki hapa... Burundi accused of hunting refugees in Tanzania campsChanzo kimeshatajwa kuwa ni reuters na vile vile BBC tayari wamesharipoti