Rwanda muziki kwao ni chakula

Rwanda muziki kwao ni chakula

RwandaFlava2TheWorld
RWANDAFUL COUNTRY

Tunawapa 2years yakuteka Africa Tunauweza wakuimba nyimbo nzuri kwa lugha zote tena styles zote (French,English,Swahili,Kinyarwanda,Kirundi,Luganda,Lingala)

Meddy ,The Ben,Bruce Melody, Yvan Buravan, And Bumuntu, King James, Christopher,...... ni Next Levels
what if i say fvck you
 
Samahani ndug zangu wakenya nyie hamna vipaji vipaji vichache. Mnabebwa na otile tu.

Hao wa fukuza mapepo hawajui kitu
Huyo Otile mnakuza tu level za Brown Mauzo,hivi unawafahamu Sauti Sol? Sauti Sol hawaitaji biti kutengeneza hit,Accapella ya Sauti Sol ni hit tosha bila biti
 
RwandaFlava2TheWorld
RWANDAFUL COUNTRY

Tunawapa 2years yakuteka Africa Tunauweza wakuimba nyimbo nzuri kwa lugha zote tena styles zote (French,English,Swahili,Kinyarwanda,Kirundi,Luganda,Lingala)

Meddy ,The Ben,Bruce Melody, Yvan Buravan, And Bumuntu, King James, Christopher,...... ni Next Levels
Namjua Meddy na Alpha.

Hao wengine uliowataja hawajafikia hata Level ya Aslay, Mario, Country Boy n.k hapo sitaki kutaka wasanii wa WCB.

Hiyo rwanda nzima ninawapa Zuchu awatoe jasho.

Bongo Hakuna nchi hapa Africa mashariki wanatufika kwa muziki. Bongo tuna wasanii kibao na hapo sijakuwekea watu wa singeli. Ladha Kama zote.
 
Singeli ni raha
 
Wanyarwanda Ni watu wa kuwa makini nao Sana.. kila wanachokifanya lengo Lao kuu Ni moja kuwa na influence katika nchi zote za maziwa makuu na baadae Afrika.
Kwa namna hii pia wanajaribu pia kutukumbusha ( Kama poster hapo juu) nao pia huimba ili tuwafuatilie. Na hii huitwa ushawishi wa kiutamaduni+ sanaaa
 
Elekea kusini, kilomita 1,000 kutokea hapo kigali ndipo utakutana na taifa lenye Muziki kamili. Muziki ambao haujaazimwa kutoka nchi yeyote. Muziki ambao unatokana na tamaduni za wenye nchi wenyewe. Muziki ambao umeitawala afrika kwa zaidi ya miaka 50. Muziki ambao kamwe hauwezi kufa sababu uko kwenye tamaduni za watu wake. Huu ni muziki kutoka pande zote mbili za mto kongo.
 
RwandaFlava2TheWorld
RWANDAFUL COUNTRY

Tunawapa 2years yakuteka Africa Tunauweza wakuimba nyimbo nzuri kwa lugha zote tena styles zote (French,English,Swahili,Kinyarwanda,Kirundi,Luganda,Lingala)

Meddy ,The Ben,Bruce Melody, Yvan Buravan, And Bumuntu, King James, Christopher,...... ni Next Levels
wamekusifia kukimbia sasa ndugu umepitiliza mpaka kwenu kha
 
1:Meddy
2:Alpha
3:Sat-B
4:Bruce Melody
5:Ben
Kuna ngoma inaitwa Beautiful ya Meddy na Sat-B ni moto
 
Back
Top Bottom