Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Hakuna kitu pale DRC ikikaza boot within 24wanakuwa kigali.Huijui Rwanda mzee.
Punguzeni mahaba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu pale DRC ikikaza boot within 24wanakuwa kigali.Huijui Rwanda mzee.
Rwanda wakiamua Kinshasa mzee...Hakuna kitu pale DRC ikikaza boot within 24wanakuwa kigali.
Punguzeni mahaba
Naomba kweli wapigane ubishi uishe kama Kagame hakwenda kukimbilia msumbiji maana Tanzania sio salama tena kwakeRwanda wakiamua Kinshasa mzee...
Hivi hujui historia kwamba hata Kabila aliwekwa na Kagame😆Naomba kweli wapigane ubishi uishe kama Kagame hakwenda kukimbilia msumbiji maana Tanzania sio salama tena kwake
Nimeandika juu kuwa Israel wameendelea kwa teknolojia - vifaru wanatengeneza wenyewe, ndege zisizo na rubani wanatengeneza, nkHoja mfu
Israel wapo mil 9, Nigeria wapo mil 200. Unataka kusema Nigeria inaweza kushinda Vita dhidi ya Israel?
Kweli kabisa !!Hoja uduvi hii. Ubabe wa nchi haupimwi kwa idadi ya watu, bali unapimwa kwa weledi wa jeshi. Rwanda Ina jeshi lenye weledi kuliko nchi zote za Afrika Mashariki.
Ndiyo maana Israeli ni taifa dogo Sana lkn linapokuja suala la we lwdi wa jeshi wanaongoza
Kabisa !Hivi hujui historia kwamba hata Kabila aliwekwa na Kagame😆
Wanaume wenyeww hko 90% wakata mauno na kujichubua,wataiweza vita kweliJeshi la DRC ni maarufu kwa kunywa pombe na kubaka Wanawake wa Kikongo.
Watapigana saa ngapi, ni Jeshi lisilo na nidhamu kuliko yote Barani Afrika.
Utamsaidia mtu ambae akiwaona tu M23 anatupa silaha na kuvaa nguo za Kiraia na kukimbia, jioni unamkuta Bar anawapiga kwala apewe Bia za bure.