Rwanda na DRC mbabe anajulikana, busara zitumike

Hoja mfu
Israel wapo mil 9, Nigeria wapo mil 200. Unataka kusema Nigeria inaweza kushinda Vita dhidi ya Israel?
Nimeandika juu kuwa Israel wameendelea kwa teknolojia - vifaru wanatengeneza wenyewe, ndege zisizo na rubani wanatengeneza, nk
Nitofauti na nchi zetu za EA ambazo kwa kiasi kikubwa zinategemea jeshi la ardhini ktk vita. Sasa kwa muktadha huo mwenye idadi kubwa ya jeshi ana faida mara dufu.
 
Kweli kabisa !!
 
Wanaume wenyeww hko 90% wakata mauno na kujichubua,wataiweza vita kweli

Ova
 
Kushinda vita sio wingi wa watu ila ni "ujuzi" katika vita. Angalia Israeli, kanchi kadogo lakini vita ndio wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…