Rwanda: Rais Kagame ateua wakuu wapya wa kijeshi na kijasusi

Rwanda: Rais Kagame ateua wakuu wapya wa kijeshi na kijasusi

Ni mabadiliko ya kawaida, katika kugawana national cake; hakuna jipya.
 
Cdf wa RDF anaitwa MUGANGA labda kama hilo jina alipewa akiwa msituni ila kama ni jina halisi toka kwa mababu zake basi the guy ana element za kibantu japo ni mtutsi og.
Kama PK ananisikia hapo ndipo nyufa zake zitakapoanzia.
 
Ahahahah.
Hapa ndio nafikaga kuona kwamba Tanzania tumepiga hatua kubwa sana kwenye mambo mengi ya kiutawala kias kwamba hakuna mwenye hadhi ya kujilinganisha na nini ukanda huu when it comes to transition and transformation of power kwenye mamlaka za ngaz mbali mbali hasa zile nyeti nyeti kama hiz za ulinzi na usalama
Una maana gani mkuu ?
 
Una maana gani mkuu ?
ni kawaida tu bongo ukaondolewa kwenye nafasi kitengoni na maisha mengine normal tu yakaendelea. Huanzi kuwindwa kana kwamba kutenguliwa ina equalize to death sentence kisa umepishana na mkubwa wako wa kazi kama anavyofanya Huyu bwana mdogo pembezoni hapo
 
Una maana gani mkuu ?
ni kawaida tu bongo ukaondolewa kwenye nafasi kitengoni na maisha mengine normal tu yakaendelea. Huanzi kuwindwa kana kwamba kutenguliwa ina equalize to death sentence kisa umepishana na mkubwa wako wa kazi kama anavyofanya Huyu bwana mdogo pembezoni hapo
 
View attachment 2648789
Picha: Rais wa Rwanda, Paul Kagame

Rais wa Rwanda, Paul Kagame amefanya mabadiliko hayo makubwa pasipo kuweka kwa sababu ya kuchukua maamuzi hayo yaliyohusisha Mkuu wa Jeshi na Waziri wa Ulinzi kufutwa kazi kwa wakati mmoja.

Amemteua Juvénal Marizamunda kuwa Waziri wa Ulinzi akichukua nafasi ya Meja Jenerali Albert Murasira aliyekuwa katika nafasi hiyo tangu Mwaka 2018, pia Luteni jenerali Mubarakh Muganga ameteuliwa kuwa Mkuu wa Jeshi akichukua nafasi ya Generali Jean Bosco Kazura aliyeongoza idara ya RDF tangu Novemba 2019.

Mabadiliko hayo pia umehusisha uteuzi mpya wa Mkuu wa Jeshi (Vikosi vya Nchi Kavu) na Mkuu wa Ujasusi wa Kijeshi.

Pia amewabadilisha Makamanda Wakuu wa Wanajeshi wa Rwanda waliotumwa Nchini Msumbiji kusaidia kupambana na wanamgambo.
---

Rwandan president reshuffles top military officers

Rwanda's President Paul Kagame has appointed new military and intelligence chiefs in a major reshuffle.

The president appointed Juvénal Marizamunda as the new defence minister, replacing Maj Gen Albert Murasira, who was in the post since 2018.

A new army chief, Lt Gen Mubarakh Muganga, is taking over from Gen Jean Bosco Kazura who ran the Rwanda Defence Force (RDF) since November 2019.

A reshuffle in which a defence minister and army chief are fired at the same time is not common in Rwanda.

No reasons have been given for the reshuffle. In previous changes to the upper echelons of the military, Mr Kagame would at times publicly hint at the reason.

In the Monday night reshuffle, Mr Kagame also appointed a new army chief of staff (land forces) as well as head of military intelligence.

In another move, he changed the top commanders of Rwandan troops deployed in Mozambique to help fight militant Islamists.

Source: BBC
Kuna kitu kimenuswa hapo, PK hawezi kufukuza wanajeshi 244 kwa wakati mmoja.

Dondoo ni mgogoro Congo DRC na makelele kutoka nje kuhusu M23.
 
SIku zake zinaelekea ukingoni. Huwezi sikia huo upuuzi nchi imara kama Tanzania
 
Huyo Huyo Alitumwa Na Jamaa, Bongo Ikamsaidia Nkurunziza Kurudi Kwenye Uongozi
Africa Kuna Mambo Sana Kamanda Niyombale Alikosea Padogo Tu
Hakukosea padogo,alizidiwa draft na Tanganyika,na angebisha angechapika
 
ni kawaida tu bongo ukaondolewa kwenye nafasi kitengoni na maisha mengine normal tu yakaendelea. Huanzi kuwindwa kana kwamba kutenguliwa ina equalize to death sentence kisa umepishana na mkubwa wako wa kazi kama anavyofanya Huyu bwana mdogo pembezoni hapo
Lakini hawa wanaotenguliwa kwenye idara za ulinzi na usalama si huwa wanapewa ubalozi ili kuwaweka mbali na aliyewatengua.
 
Me nadhani KP kashtuliwa au kashtukia game, sidhani na nitakuwa wa mwisho kuamini 244 🪖 waondolewe as ni kawaida au kubadirisha utendaji NO.

Kutakuwa na harufu somewhere ya cake iliyooza so ameondoa kipande kisije ozesha cake yote, KP ni dictator hasa na ni dictator anayeogopwa hata na majirani so hii ni behind the scenes.
 
Back
Top Bottom