Rwanda: Rais Kagame ateua wakuu wapya wa kijeshi na kijasusi

Rwanda: Rais Kagame ateua wakuu wapya wa kijeshi na kijasusi

Mwamba kashtukia mchezo ..wanajeshi wa Rwanda matumbo joto wanaanza kupungua mmoja mmoja hali si shwari
 
Lakini hawa wanaotenguliwa kwenye idara za ulinzi na usalama si huwa wanapewa ubalozi ili kuwaweka mbali na aliyewatengua.
Hapana mkuu.Hapo hujawekwa mbali..hapo wanakua wamekusogeza waku zoom kwa mbali.Si unajua ili kitu upate view yake vizur inabid ukiangalie kutoka mbali?????
 
View attachment 2648789
Picha: Rais wa Rwanda, Paul Kagame

Rais wa Rwanda, Paul Kagame amefanya mabadiliko hayo makubwa pasipo kuweka kwa sababu ya kuchukua maamuzi hayo yaliyohusisha Mkuu wa Jeshi na Waziri wa Ulinzi kufutwa kazi kwa wakati mmoja.

Amemteua Juvénal Marizamunda kuwa Waziri wa Ulinzi akichukua nafasi ya Meja Jenerali Albert Murasira aliyekuwa katika nafasi hiyo tangu Mwaka 2018, pia Luteni jenerali Mubarakh Muganga ameteuliwa kuwa Mkuu wa Jeshi akichukua nafasi ya Generali Jean Bosco Kazura aliyeongoza idara ya RDF tangu Novemba 2019.

Mabadiliko hayo pia umehusisha uteuzi mpya wa Mkuu wa Jeshi (Vikosi vya Nchi Kavu) na Mkuu wa Ujasusi wa Kijeshi.

Pia amewabadilisha Makamanda Wakuu wa Wanajeshi wa Rwanda waliotumwa Nchini Msumbiji kusaidia kupambana na wanamgambo.
---

Rwandan president reshuffles top military officers

Rwanda's President Paul Kagame has appointed new military and intelligence chiefs in a major reshuffle.

The president appointed Juvénal Marizamunda as the new defence minister, replacing Maj Gen Albert Murasira, who was in the post since 2018.

A new army chief, Lt Gen Mubarakh Muganga, is taking over from Gen Jean Bosco Kazura who ran the Rwanda Defence Force (RDF) since November 2019.

A reshuffle in which a defence minister and army chief are fired at the same time is not common in Rwanda.

No reasons have been given for the reshuffle. In previous changes to the upper echelons of the military, Mr Kagame would at times publicly hint at the reason.

In the Monday night reshuffle, Mr Kagame also appointed a new army chief of staff (land forces) as well as head of military intelligence.

In another move, he changed the top commanders of Rwandan troops deployed in Mozambique to help fight militant Islamists.

Source: BBC
Bora ameepusha ncgi kuingia dimbwini.

Nasikia kuna tetesi za kutaka kumpindua. Mungu aepushe mbali
 
Kwa Kagame labda uwe umefikisha umri wa kustaafu tu, lakini akikutengua basi ukisalimika sana ni gerezani.

Kama kuna aliyetenguliwa hapo, basi kuanzia sasa atalindwa na kufuatiliwa kuliko Kagame
Wote wameondolewa wazee
 
ni kawaida tu bongo ukaondolewa kwenye nafasi kitengoni na maisha mengine normal tu yakaendelea. Huanzi kuwindwa kana kwamba kutenguliwa ina equalize to death sentence kisa umepishana na mkubwa wako wa kazi kama anavyofanya Huyu bwana mdogo pembezoni hapo
Enzi za Bwana yule tulianza kuelekea huko huko Rwanda.
 
yeah na saa hizi hao wenye nchi yao wanaipiga bei nchi yetu kwa waarabu ....[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
mwamba apumzike kwa amani huko alipo...
Aaaaaaaaaaaaaaaamin bandugu
gettyimages-494936334-594x594.jpg
 
Back
Top Bottom