Rwanda: Rais Kagame ateua wakuu wapya wa kijeshi na kijasusi

Mwamba kashtukia mchezo ..wanajeshi wa Rwanda matumbo joto wanaanza kupungua mmoja mmoja hali si shwari
 
Lakini hawa wanaotenguliwa kwenye idara za ulinzi na usalama si huwa wanapewa ubalozi ili kuwaweka mbali na aliyewatengua.
Hapana mkuu.Hapo hujawekwa mbali..hapo wanakua wamekusogeza waku zoom kwa mbali.Si unajua ili kitu upate view yake vizur inabid ukiangalie kutoka mbali?????
 
Bora ameepusha ncgi kuingia dimbwini.

Nasikia kuna tetesi za kutaka kumpindua. Mungu aepushe mbali
 
Kwa Kagame labda uwe umefikisha umri wa kustaafu tu, lakini akikutengua basi ukisalimika sana ni gerezani.

Kama kuna aliyetenguliwa hapo, basi kuanzia sasa atalindwa na kufuatiliwa kuliko Kagame
Wote wameondolewa wazee
 
Enzi za Bwana yule tulianza kuelekea huko huko Rwanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…