yeah na saa hizi hao wenye nchi yao wanaipiga bei nchi yetu kwa waarabu ....[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
mwamba apumzike kwa amani huko alipo...
Kiaje mkuu???
Maana hapo hapo south ex-spy master wa Rwanda bwana Karegeya vijana wa Kagame walipitia nae simple tuu na hapo hapo pia huy Nyamwasa ashanusurika mara kadhaa mashambulizi
[emoji23][emoji23][emoji23]kwa hiyo kumbe mwamba alikuwa sahihi kulinda raslimali za nchi yetu watanzania wazalendo .....
ila wenye nchi yao wakaona mwamba anawaharibia waka mvizia na kumpiga na kitu kizito mpaka futi sita chini....
aiseee mwamba awe na amani huko alipo ....