Rwanda secures dry port in Kenya

Sina maneno mengi,lkn nakupa miaka 4 hutasikia Rwanda na Kenya wamefanya project hio unayoisema.

Hivi ile project ya kujenga reli northern corridor ya kutoka Kenya to Rwanda via Uganda iliishia wapi?

Kumbuka Rwanda tayari wanatumia bandari yetu kwa baadhi ya mizigo, hapa tunawafupishia kilomita 600, sasa unaposema hawatafanya project, una maana wataona heri kutofupishiwa kilomita 600.

Reli ya northern corridor kwa sasa imefikia imefikia kilomita 600km na zote zinatumika, taratibu tutafanikisha.

Vipi kale kasafu kenu ka Dar-Moro kilomita 200km tuliambiwa kataanza kutumika mwaka jana, juzi waziri mkuu wenu amesema kamefikia 77%, hivyo ina maana mnakwenda kwenye uchaguzi kabla hakajakamilika, nilitegemea mtakatumia kutafuta kura.
 
Sijakuelewa, umesoma taarifa lakini??
Wacha uvivu wa kusoma, haya hii video kama umeshindwa kusoma
Bado kunavizingiti vingi kupitishia mzigo Naivasha kwenda Rwanda.
 
😂😂😂😂😂😂
Nobody:

Nobody at all:

Absolutely no f*cking body:

MK254: I'm finna fire shots indiscriminately for like.....no reason and let god decide who dies.
 
Bado kunavizingiti vingi kupitishia mzigo Naivasha kwenda Rwanda.

Cha msingi....Naivasha hadi Kigali watakua wamefupishiwa kilomita 600km ambazo wanatumia kwa sasa.....
Yaani mahesabu yanaanzia hapo, ukikumbuka sasa hivi kunao bado wanatumia Mombasa hadi Kigali, hivyo tunaanza na hao.
 
Wale sio wa kupatana leo wala kesho,so option itakayoendelea kutumika kwa Rwanda ni kuitumia bandar ya Dar.

My 2cents.
Tena ni vema sasa tukatenga bajeti ya kuwafadhili M7 ili wakoleze moto na kuharibu huo mfumo wa usafirishaji.
 
Waache wacheke wakijifurahisha
 
Tena ni vema sasa tukatenga bajeti ya kuwafadhili M7 ili wakoleze moto na kuharibu huo mfumo wa usafirishaji.

Museveni kwanza ndiye atanufaika sana tukiendelea kufaulu, maana sisi tunataka tuiteke DRC yote na kuitia kwapani, sasa hapo kuwafikia wote yaani DRC, Rwanda na hata maskini mwenzenu Burundi lazima tupitie Uganda, ndio maana Museveni huwa mstari wa mbele kuhakikisha hii miradi inafaulu.....maana yeye kwa kuwa hapo kati atakua anatafuna bila kufanya kazi.
 
Hivi do you have any idea operations of logistics leo hii unashusha mzigo mombasa kuna handling cost of the cargo unaweka kwenye train yenu ya diesel yenu ambayo inalipwa transit cost mpka naivasha mzigo tena unashushwa hapo so kuna handling cost tena+time hiyo tayari ni double handling cost then kutoka hapo kwenda kisumu unapakia kwenye nini roli ama treni tena hiyo tena ni cost then kwenye meli tena ni cost alafu unashusha kampala mzigo unachukuliwa na gari mpka Rwanda kupakia mzigo utachajiwa tena gharama za handling so mzigo mpka ufike Rwanda kuna alot of cost associated with just transport sasa nakupa home work ili intermodal transport iwe effectively lazima kusiwe na any double handling cost na goods should move from point A to B with the same model of transport to save time and cost
 
Sisi kama Tanzania tunaweza kuteka soko la Uganda na tukagawana consignment by 50/50 kwasababu tuna route mbili ambavyo ni very critical kwa uchumi wetu na mimi siku zote huwa namkubali sana Raisi wetu yuko mbele kwenye kufikiria na kufanya maamuzi kwa mfano kwa mwaka huu serekali imetenga hela kwa ajiri ya ujenzi wa ferry wagon katika ziwa Tanganyika hii inamaana gani tutakuwa na option mbili zakushifika mizigo eastern Congo ambayo ndo ina mizigo mingi sana kuliko northern congo sasa basi tutakuwa na route ya kwanza ambayo ni Dar to Tunduma mpka nakonde na tutavuka mpka kwenda Eastern congo kwa kupitia kasarumbesa ambako mpinzani wetu mkubwaa ni bandari ya Durban na uzuri wa hii route unaenda na Transit cargo ukirudi Dar unarudi na mzigo wa copper ama cosginment nyingine na route ya pili ni kupitia kigoma so hapa tunaifikia eastern Congo very easily and kwa muda mfupi sana around 6hrs mpka 8hrs tunakuwa tumeshadock kalemii kule upande wa congo na ni kilometer 50 tuu on water
 
Kingine tunakarabati Bandari ya Tanga kwa kuongeza kina na kujenga magati makubwa yenye urefu wa mita 300m kila moja so Tanga itakuwa na magati matano yenye 300m na kina cha mpka 17m ambayo meli yoyote itadock hii inamaana gani eneo la kaskazini la moshi,arusha na mikoa ya Mara sasa itahudumiwa 100% na hii bandari na hata pia Kenya yenyewe tutahudimia county zao za Kaijado,makueni,kiambu,nakuru na zingine nyingine lakini pia tutafanya Transit ya mizigo ya kwenda Kampala kutia horiri just to remind you from Tanga to Kampala via Horiri Road by Road ni 1290km tuu so we are coming for kampala so we have very competitive advantage kwanza port yetu tayari itakuwa inaexport crude oil from Uganda na sasa tunakuwa na shortest route na tutapita kwenu na portcharges zitakuwa chini na hakuna mambo ya double handling cost
 
Umesahau route ya tatu kupitia Isaka-Burundi na route ya nne kupitia Isaka-Rwanda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…