MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Sina maneno mengi,lkn nakupa miaka 4 hutasikia Rwanda na Kenya wamefanya project hio unayoisema.
Hivi ile project ya kujenga reli northern corridor ya kutoka Kenya to Rwanda via Uganda iliishia wapi?
Kumbuka Rwanda tayari wanatumia bandari yetu kwa baadhi ya mizigo, hapa tunawafupishia kilomita 600, sasa unaposema hawatafanya project, una maana wataona heri kutofupishiwa kilomita 600.
Reli ya northern corridor kwa sasa imefikia imefikia kilomita 600km na zote zinatumika, taratibu tutafanikisha.
Vipi kale kasafu kenu ka Dar-Moro kilomita 200km tuliambiwa kataanza kutumika mwaka jana, juzi waziri mkuu wenu amesema kamefikia 77%, hivyo ina maana mnakwenda kwenye uchaguzi kabla hakajakamilika, nilitegemea mtakatumia kutafuta kura.