Rwanda vipi tena? Hela inawaondolea heshima kiasi hiki

Kama wanaweza kuwasafirisha hadi Rwanda kisha wakalipa na fedha.

Kwanini wasiwarudishe kwenye mataifa yao moja kwa moja? Kuna kitu nyuma ya hii issue.
 
Unashangaa ya Kagame labda haujui tu yanayoendelea na yanayokuja nchini mwako kama hata bado una nchi kama labda unavyodhania!
 
Kama wanaweza kuwasafirisha hadi Rwanda kisha wakalipa na fedha.

Kwanini wasiwarudishe kwenye mataifa yao moja kwa moja? Kuna kitu nyuma ya hii issue.
Nikweli Kuna jambo limejificha
 
Hapo ndo huwa naonaga Tanzania ni tofauti. Sisi bado tuna value nchi yetu kwa kiasi fulani. Ndiyo maana hata uraia wetu ingawa kwa duniani siyo ghali lakini tuna uthamini sana kwa maana hatuna uraia pacha kisheria. Kagame ana gemu anataka kuicheza. Inawezekana anataka kumodernize nchi yake kwa kupata new ideas kama atafanya screening ya potential migrants au ana evil plans na hao watu. Kwa sababu mwenendo wake si wa kukubali ujinga ujinga hasa kutoka kwa mfaransa ambaye miaka ya karibuni wamekuwa ktk bad diplomacy ngoja tuone.

Angalizo
We should tighten our security ktk mikoa ya pembezoni.
 
Hiki kipande ni amazing:

"Hâta ombi la kupewa ukimbizi UK likikubaliwa bado utapelekwa Rwanda na utahesabika uko UK!"

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Rwanda wana akili na wanajua ni wapi watakapowatupa hao wakimbizi, ni huko Nyarugusu Kigoma Tanzania.
 
tamaa ya pesa ya Kagame inakwenda kutuletea mabalaa maana hao jamaa watashindwa kukaa Rwanda watatoroka na kuja kutuzingua ukizingatia mpaka wa Rwanda na Tanzania ni mto
 
Kama wanaweza kuwasafirisha hadi Rwanda kisha wakalipa na fedha.

Kwanini wasiwarudishe kwenye mataifa yao moja kwa moja? Kuna kitu nyuma ya hii issue.
Hao mara nyingi wanatumika kuingiza madawa ya kulevya.
 
Watanzania bongo lala. Tuache kuwaonea wivu wanaopiga hela ya mkoloni. Acha Rwanda ile pesa. Sisi kama tunataka tuwapoee waMexico.
 
Wazungu hawataki uchafu japo wanausabisha.
Kinachofanyika ni utumwa wa kisasa.
Kagame ataamua au kuwapoteza kiaina, kusakizia jirani zake 'legelege' au kulazimisha warudi kwao.
Keep in mind ukubwa wa Rwanda
 
tamaa ya pesa ya Kagame inakwenda kutuletea mabalaa maana hao jamaa watashindwa kukaa Rwanda watatoroka na kuja kutuzingua ukizingatia mpaka wa Rwanda na Tanzania ni mto
Acheni visingizio. Rwanda katumia akili kapata deal lake, nyie mnatakaje?

Mlitaka akatae pesa za bure za mkoloni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…