Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona watu hawaendi Urusi na China...Kuzamia kila siku USA na Ulaya magharibi kama UK, Germany, France nk...
Hahahhahahaha ila mwingereza kacheza vizuri hapa. Kachagua mtu mwenye roho mbaya ambaye hutatamani upelekwe kwake. Ingekuwa mtu anapelekwa Botswana, Namibia, Zambia au Tanzania isingeshtua sana.Sasa watu watakao omba hifadhi watapungua Kama sio kuisha. Maana ukitia mguu uingereza utawala wa dick tatter (dikteta) wa Rwanda unakuhusu.
Kwa mfano ukitoka Arusha ukazamia uingereza baada ya wiki utajikuta uko Amahoro stadium unasubiri kupangiwa gereza.
Uzuri PK don't a give Fu.ck ameshakunja zake £120mil kibindoni kilaini kabisa bila hata wahamiaji kufika Rwanda.Hahahhahahaha ila mwingereza kacheza vizuri hapa. Kachagua mtu mwenye roho mbaya ambaye hutatamani upelekwe kwake. Ingekuwa mtu anapelekwa Botswana, Namibia, Zambia au Tanzania isingeshtua sana.